Rais Vladmir Putin amekubali mwaliko wa kushiriki Mkutano Mkuu wa BRICS utakaofanyika nchini Afrika Kusini katika Mji wa Durban Mwezi Agosti Mwaka huu.
#SiasaMakiniUPDATES
Huyu ni mtoto wa Kiongozi wa juu kabisa wa taifa la Urusi.
Anaitwa Nikolai Peskov, ambaye baba yake ni Dmitry Peskov — Mkurugenzi Mkuu Idara ya Habari, Ikulu ya Urusi.
Kafanyaje?
#SiasaMakiniUPDATES