1.bonyeza *#21# kujua kama simu unazopiga,ujumbe unaotuma au kupokea umelekezwa kwenye simu nyingine
2.bonyeza *#62# kama wanaokupigia hawakupati.
3.bonyeza kujua *#06# kujua imei ya simu.
4.bonyeza ##002# kufuta au kusitisha udukuzi wa simu yako,kuzuia call na sms forwarding.
KUMBUKA KUNDI LA UMRI WAKO LEO, USISAHAU KUSUDI LA MAISHA YAKO
Umri wa Ziada (Overtime age)
1926 – Miaka 100
1927 – Miaka 99
1928 – Miaka 98
1929 – Miaka 97
1930 – Miaka 96
1931 – Miaka 95
1932 – Miaka 94
Umri wa Machweo (Sunset age)
1933 – Miaka 93
1934 – Miaka 92
1935 – Miaka 91
1936 – Miaka 90
1937 – Miaka 89
1938 – Miaka 88
1939 – Miaka 87
1940 – Miaka 86
1941 – Miaka 85
1942 – Miaka 84
1943 – Miaka 83
1944 – Miaka 82
1945 – Miaka 81
1946 – Miaka 80
1947 – Miaka 79
1948 – Miaka 78
1949 – Miaka 77
1950 – Miaka 76
1951 – Miaka 75
Uzee (Old age)
1952 – Miaka 74
1953 – Miaka 73
1954 – Miaka 72
1955 – Miaka 71
1956 – Miaka 70
1957 – Miaka 69
1958 – Miaka 68
1959 – Miaka 67
1960 – Miaka 66
1961 – Miaka 65
1962 – Miaka 64
1963 – Miaka 63
Umri wa Marekebisho na Maridhiano
1964 – Miaka 62
1965 – Miaka 61
1966 – Miaka 60
1967 – Miaka 59
1968 – Miaka 58
1969 – Miaka 57
1970 – Miaka 56
1971 – Miaka 55
1972 – Miaka 54
1973 – Miaka 53
Umri wa Mafanikio na Utimilifu
1974 – Miaka 52
1975 – Miaka 51
1976 – Miaka 50
1977 – Miaka 49
1978 – Miaka 48
1979 – Miaka 47
1980 – Miaka 46
1981 – Miaka 45
1982 – Miaka 44
1983 – Miaka 43
Umri wa Kufanya Maamuzi
1984 – Miaka 42
1985 – Miaka 41
1986 – Miaka 40
1987 – Miaka 39
1988 – Miaka 38
1989 – Miaka 37
1990 – Miaka 36
1991 – Miaka 35
1992 – Miaka 34
1993 – Miaka 33
Umri wa Kujitoa na Dhamira
1994 – Miaka 32
1995 – Miaka 31
1996 – Miaka 30
1997 – Miaka 29
1998 – Miaka 28
1999 – Miaka 27
2000 – Miaka 26
2001 – Miaka 25
2002 – Miaka 24
2003 – Miaka 23
Umri wa Ujana na Masomo
2004 – Miaka 22
2005 – Miaka 21
2006 – Miaka 20
2007 – Miaka 19
2008 – Miaka 18
2009 – Miaka 17
2010 – Miaka 16
2011 – Miaka 15
2012 – Miaka 14
2013 – Miaka 13
Umri wa Uangalizi wa Watoto Wachanga na Wadogo
2014 – Miaka 12
2015 – Miaka 11
2016 – Miaka 10
2017 – Miaka 9
2018 – Miaka 8
2019 – Miaka 7
2020 – Miaka 6
2021 – Miaka 5
2022 – Miaka 4
2023 – Miaka 3
2024 – Miaka 2
2025 – Mwaka 1
Epuka kujidanganya kwamba bado wewe ni kijana.
Kumbuka kila wakati kuwa muda haumsubirii mtu yeyote.
Fikiria mara mbili kuhusu umri wako. Kadri siku zinavyopita, tunakaribia mahali petu pa mwisho.
Jiulize maswali haya:
Nimefanya nini hasa kwa familia yangu, ndugu, marafiki, na Mungu tangu nilipoja duniani?
Je, bado kuna jambo ninaweza kufanya?
Basi fanya kitu sasa, kwa sababu muda unapita kwa kasi, na huenda ikawa kuchelewa.
Kila siku unapozeeka, jifanye kuwa hazina, kwa maana dunia hii ni ya kupita.
Mshukuru Bwana na endelea kusonga mbele kwa azma, bidii, maombi na uaminifu, nawe utapata uzima wa milele, yaani MBINGUNI.
JIHADHARI NA “SIKU MOJA”
SIKU MOJA, utastaafu kutoka utumishi wa umma na kuanza maisha ya faragha.
SIKU MOJA, mtu mwingine atakaa kwenye kiti chako na kuchukua nafasi yako.
SIKU MOJA, utafunga mlango wako, lakini hutakuwa wewe wa kuufungua.
SIKU MOJA, utaosha nguo zako nzuri, lakini hutaweza kuzivaa tena.
SIKU MOJA, chakula unachokipenda kitaandaliwa, lakini hutakuwepo kukila.
SIKU MOJA, utakula na kunywa kitu ambacho hutaweza kukitoa tena.
SIKU MOJA, wasifu wako (CV) na uzoefu wako wote hautakuwa na maana kwa mtu yeyote.
SIKU MOJA, mtu aliyekupenda zaidi hatajaribu kukukaribia.
SIKU MOJA, utawaza mambo ambayo hutaweza kuyatimiza.
SIKU MOJA, utaitwa “maiti”.
SIKU MOJA, utatengwa mahali paitwapo “kaburi”.
SIKU MOJA, vitu na watu uliowapenda sana watapita karibu nawe, lakini hutaweza kuwajali.
SIKU MOJA, utashikilia pumzi yako na hutaweza kuiachia tena.
SIKU MOJA, utasimama kama mshtakiwa mbele ya Hakimu Mkuu (MUNGU).
SIKU MOJA, nzi au mchwa watakujia, na hutaweza kuwafukuza.
SIKU MOJA, utapokea wito usioweza kuukataa.
SIKU MOJA, jina lako litaitwa, lakini hakuna atakayejibu.
SIKU MOJA, mali ulizozipenda sana zitachukuliwa na mtu mwingine.
SIKU MOJA, matendo yako duniani yatawasilishwa kwako kana kwamba ni CD.
SIKU MOJA, neno “Marehemu” litaongezwa kwenye jina lako.
SIKU MOJA, Mgawaji Mkuu atakupangia mahali panapokufaa.
SIKU MOJA, ngozi yako nzuri itarudi kwenye asili yake—mchanga/udongo.
SIKU MOJA, mwili wako wote
Imani 10 za kiroho (superstitions) ambazo ni busara kuziheshimu, hata kama hazina maelezo ya kisayansi.
1. Usishare mipango yako kwa kila mtu.
Kila mtu ana nishati, wivu, hofu, au mashaka yake. Ukishare mapema, unaiingiza mipango yako kwenye kelele za watu wengine.
THREAD 🧵
Fahamu tofauti iliyopo kati ya:
1. Misioni
2. Kigango
3. Parokia Teule
4. Parokia
5. Kanisa Kuu
6. Basilica
Katika mtazamo wa Kikatoliki:
1. MISIONI:
Katika Kanisa Katoliki, Misioni ni mahali pa kuabudia na kuinjilisha palipoanzishwa katika eneo au jumuiya fulani kwa madhumuni ya kueneza Injili na kuanzisha uwepo wa Wakatoliki eneo hilo. Makanisa ya misioni mara nyingi huanzishwa katika maeneo ambayo imani ya Kikatoliki haijaimarishwa vyema au ambapo kuna haja ya kufikiwa.
Makanisa haya kwa kawaida huongozwa na Mapadre au Wamisionari wanaofanya kazi ya kuwaleta watu kwenye imani ya Kikatoliki na kutoa huduma ya kichungaji.
2. KIGANGO/KITUO CHA SALA:
Katika muktadha wa Kikatoliki, Kigango au kituo cha sala kwa kawaida ni kanisa dogo lililo mbali na Kanisa Kuu la Parokia husika. Inatumika kama mahali pa ibada na msaada wa kiroho kwa kikundi maalum cha waumini wa Kikatoliki ambao wanaweza kupata changamoto kusafiri hadi Kanisa kuu la Parokia lilipo mara kwa mara.
Makanisa ya vituo vya sala na vigango mara nyingi huanzishwa katika maeneo yenye Wakatoliki waliotawanyika au wanaoishi katika maeneo ambayo ni mbali na Kanisa Kuu la Parokia. Padre hufika mara kwa mara kadiri iwezekanavyo kwaajili ya sala na Maadhimisho ya Sakramenti mbalimbali kwa waamini waishio vigangoni au katika vituo vya sala.
3. PAROKIA TEULE
Katika Kanisa Katoliki, Kigango kilichokuwa tawi la Parokia fulani kinapopanuka kwa idadi ya watu, Jumuiya, uwezo wa kujisimamia chenyewe nk, Askofu Jimbo hilipandisha hadhi na kukiita PAROKIA TEULE. Parokia Teule maana yake hakijafikia kutajwa kuwa Parokia Kamili ijapokuwa kiutendaji kinakuwa na uwezo wa kujisimamia na kujiendesha chenyewe katika mambo mengi bila kutegemea Parokia.
Parokia teule huongozwa na kusimamiwa na Padre kama kiongozi wa kiroho na yeye huitwa PADRE KIONGOZI. Yeye huendelea kuwahudumia waamini wake huku akiongoza pia mchakato wa kukamilisha maandalizi ya kutangazwa kuwa Parokia kamili.
4. PAROKIA:
Parokia katika muktadha wa Kanisa Katoliki ni jumuiya ya utawala ambayo inajumuisha eneo maalum la kijiografia. Inaongozwa na Padre ambaye cheo chake kikanuni huitwa PAROKO na inajumuisha kusanyiko la waumini wa Kikatoliki wanaokusanyika pamoja kuabudu, kushiriki Sakramenti, na kukua katika imani yao.
Kanisa la Parokia hutumika kama sehemu kuu ya ibada kwa jumuiya ya Kikatoliki ya eneo hilo, na hutoa huduma ya kichungaji, elimu ya kidini, na huduma nyingine za kiroho kwa waumini wake.
5. KANISA KUU (CATHEDRAL):
Katika Kanisa Katoliki, hili ni Kanisa Kuu la dayosisi (Jimbo), ambalo ni eneo la kiutawala linaloongozwa na ASKOFU. Kawaida ni kubwa na muhimu zaidi kisanifu kuliko makanisa ya kawaida ya Parokia. Ndani ya Kanisa Kuu hukaa kiti cha Askofu (Cathedra), kinachoashiria mamlaka na jukumu lake kama kiongozi wa kiroho wa Jimbo (Dayosisi) husika.
Katika Kanisa Kuu ndipo matukio makuu ya kiliturujia, kama vile kuwekwa wakfu kwa Mashemasi na Upadrisho na sherehe za kiaskofu hufanyika. Makanisa Makuu mara nyingi huhifadhi umuhimu wa kihistoria na kitamaduni na mahali pengi yamekuwa ni vituo muhimu vya ibada na maisha ya kiroho katika dayosisi zao.
6. BASILICA:
Katika Ukatoliki, Basilica ni jengo la Kanisa ambalo limepewa jina la "Basilica" na Papa kutokana na umuhimu wake wa kihistoria, usanifu, au wa kidini. Basilica huwa na hadhi maalum na kwa kawaida huhusishwa na masalio muhimu, mila muhimu za kiroho, au matendo ya kuhiji.
Mara nyingi Basilika huwa na sifa tofauti za usanifu na yanaweza kuwa na mapendeleo maalum, kama vile uwezo wa kusherehekea ibada fulani kuu za kiliturujia.
Basilica hutumika kama mahali pa ibada, sala, na hija, na kuvutia waumini kutoka kote ulimwenguni kwasababu ya uwezo wake mkubwa wa kuchukua watu wengi kwa wakati mmoja.
Kumbuka kwamba maelezo yaliyotolewa hapa ni mahususi kwa Kanisa Katoliki na yanaweza kutofautiana katika madhehebu mengine ya Kikristo.
Mungu akubariki.
TOP 110 ACTION MOVIES OF ALL TIME
1. Die Hard (1988)
2. Mad Max: Fury Road (2015)
3. The Dark Knight (2008)
4. Terminator 2: Judgment Day (1991)
5. John Wick (2014)
6. The Matrix (1999)
7. Gladiator (2000)
8. Inception (2010)
9. Raiders of the Lost Ark (1981)
10. The Bourne Ultimatum (2007)
11. Seven Samurai (1954)
12. Heat (1995)
13. Aliens (1986)
14. Speed (1994)
15. Skyfall (2012)
16. The Raid: Redemption (2011)
17. Mission: Impossible – Fallout (2018)
18. Léon: The Professional (1994)
19. Predator (1987)
20. Casino Royale (2006)
21. The Bourne Identity (2002)
22. Lethal Weapon (1987)
23. Kill Bill: Vol. 1 (2003)
24. 300 (2006)
25. The Avengers (2012)
26. Hard Boiled (1992)
27. The Fugitive (1993)
28. Rambo: First Blood (1982)
29. Taken (2008)
30. Heat (1995)
31. Top Gun: Maverick (2022)
32. Mission: Impossible – Ghost Protocol (2011)
33. Ip Man (2008)
34. Black Panther (2018)
35. The Equalizer (2014)
36. Bad Boys (1995)
37. Commando (1985)
38. Enter the Dragon (1973)
39. The Dark Knight Rises (2012)
40. Edge of Tomorrow (2014)
41. The Nice Guys (2016)
42. The Bourne Supremacy (2004)
43. Mission: Impossible III (2006)
44. True Lies (1994)
45. Man on Fire (2004)
46. Hot Fuzz (2007)
47. The Rock (1996)
48. The Expendables 2 (2012)
49. Crouching Tiger, Hidden Dragon (2000)
50. Oldboy (2003)
51. The Killer (1989)
52. Bloodsport (1988)
53. Logan (2017)
54. Dunkirk (2017)
55. The Last Samurai (2003)
56. Minority Report (2002)
57. Bad Boys II (2003)
58. Face/Off (1997)
59. Transporter (2002)
60. Rush Hour (1998)
61. Iron Man (2008)
62. Captain America: The Winter Soldier (2014)
63. Spider-Man 2 (2004)
64. The Wolverine (2013)
65. The Accountant (2016)
66. Warrior (2011)
67. The Magnificent Seven (1960)
68. Hacksaw Ridge (2016)
69. The Revenant (2015)
70. 13 Hours (2016)
71. Sicario (2015)
72. Unleashed (2005)
73. Shooter (2007)
74. The Warriors (1979)
75. Snowpiercer (2013)
76. The Book of Eli (2010)
77. The Hateful Eight (2015)
78. Wanted (2008)
79. The Great Escape (1963)
80. Independence Day (1996)
81. Con Air (1997)
82. John Wick: Chapter 2 (2017)
83. John Wick: Chapter 3 – Parabellum (2019)
84. Road House (1989)
85. The Old Guard (2020)
86. Extraction (2020)
87. The Gray Man (2022)
88. Hanna (2011)
89. The Protector (Tom Yum Goong) (2005)
90. The Man From Nowhere (2010)
91. The Way of the Dragon (1972)
92. Uncharted (2022)
93. The A-Team (2010)
94. Atomic Blonde (2017)
95. Wanted (2008)
96. Rogue One: A Star Wars Story (2016)
97. Under Siege (1992)
98. Blade (1998)
99. The Equalizer 2 (2018)
100. Fury (2014)
101. Die Hard
102. Terminator
103. Judgment Day
104. The Raid: Redemption
105. Raiders of the Lost Ark
106. Hard Boiled
107. Inception
108. Crouching Tiger, Hidden Dragon
109. Mission: Impossible - Fallout
110. Apocalypto
Best 50 African based Action movies 🎬
1. Blood Diamond (2006) - 8.0
2. Hotel Rwanda (2004) - 8.1
3. Black Hawk Down (2001) - 7.7
4. Tears of the Sun (2003) - 6.6
5. The Last King of Scotland (2006) - 7.7
6. District 9 (2009) - 7.9
7. Tsotsi (2005) - 7.2
8. Out of Africa (1985) - 7.2
9. The Ghost and the Darkness (1996) - 6.8
10. The Constant Gardener (2005) - 7.4
11. The Gods Must Be Crazy (1980) - 7.3
12. Invictus (2009) - 7.3
13. The Lion King (1994) - 8.5
14. Mandela: Long Walk to Freedom (2013) - 7.1
15. Gorillas in the Mist (1988) - 7.0
16. The Interpreter (2005) - 6.4
17. The Siege of Jadotville (2016) - 7.2
18. Zulu (1964) - 7.7
19. The Blue Elephant (2014) - 6.7
20. Chappie (2015) - 6.8
21. The Bang Bang Club (2010) - 7.0
22. Out of Inferno (2013) - 6.1
23. The Wild Geese (1978) - 6.8
24. Africa United (2010) - 6.6
25. Catch a Fire (2006) - 6.7
26. The Ghost and the Darkness (1996) - 6.8
27. The Power of One (1992) - 7.2
28. The Wilby Conspiracy (1975) - 6.8
29. Machine Gun Preacher (2011) - 6.8
30. The Naked Prey (1965) - 7.3
31. The Air Up There (1994) - 5.5
32. The Gods Must Be Crazy II (1989) - 6.8
33. White Hunter Black Heart (1990) - 6.7
34. Red Scorpion (1988) - 5.2
35. Ashanti (1979) - 5.5
36. Dark of the Sun (1968) - 6.9
37. Shaka Zulu (1986) - 7.7
38. Mountains of the Moon (1990) - 7.2
39. Safari (1956) - 6.5
40. Zambezia (2012) - 5.8
41. Safari 3000 (1982) - 5.2
42. Safari Drums (1953) - 5.1
43. The Lion of Africa (1988) - 6.0
44. The White Warrior (1959) - 6.2
45. African Cats (2011) - 7.6
46. The Journey of August King (1995) - 6.3
47. King Solomon's Mines (1985) - 5.2
48. Lost in Africa (2010) - 6.1
49. Diamonds (1999) - 5.4
50. In My Country (2004) - 6.3
Interview Question : "Tell me about yourself?"
Typical answers that interviewers are tired of hearing:
❌ “My name… my age… I live in…”
❌ “I like learning new things.”
❌ “I am a hardworking & fast learner.”
What do they really want?
👉 They want to see who you are as a professional, not your life history.
👉 They want to understand what your strengths are and what makes you relevant for the role.
👉 They want to see clarity, confidence & direction.
So how do you give a smart, smooth & stand out answer?
Use this formula 👇
1) Start with your professional identity
Not your name. Not your age. Go straight into “who you are in the world of work.”
Example:
“I am a content strategist with experience in social media & data-driven marketing…”
Give the interviewer a clear picture in just 1 line.
2) Share 1–2 measurable achievements
This is the part that many people skip. Achievements don't need to be bombastic. Just something that shows impact.
Example:
“…at a previous company, I managed content calendars for 3 brands and managed to increase engagement by 40% in 4 months.”
3) Connect with skills that are closely related to the job
Pick 2–3 skills that the role really requires.
Example:
“Most of my work involves content planning, analytics & audience behavior…”
4) Close with direction, where you want to go
This is where you show alignment with the company.
Example:
“…that’s why I’m looking for a role that can give me exposure to larger campaigns and a team that likes to experiment.”
Example of a solid answer:👇
#IkoKaziKE
HOW TO INTRODUCE YOURSELF IN A JOB INTERVIEW
In a job interview, your self-introduction should be clear, confident, and relevant to the position. Here’s a basic structure to follow:
⸻
1. Greet and thank the interviewer:
“Good morning, and thank you for the opportunity to be here.”
2. State your name and current role or status:
“My name is [Your Name], and I’m currently a [Your Current Job Title] at [Company Name]”
Or, “I recently graduated with a degree in [Your Major] from [University Name].”
3. Give a quick professional background:
“I have [X] years of experience in [Your Industry or Field], where I’ve focused on [Key Skills or Responsibilities].”
4. Highlight key achievements or strengths:
“In my previous role, I led a project that [Brief Achievement], which helped improve [Result].”
5. Explain your interest in the role:
“I’m really excited about this opportunity because it aligns with my passion for [Field/Skill] and I see it as a great chance to grow and contribute to your team.”
No interview invitation in the last 5 weeks?
Let’s help you fix that CV and get you noticed. Email your CV to [email protected] with subject 'Revamp'. #IkoKaziKE
Pope Benedict XVI had 8 doctorates, spoke 10 languages, authored over 160 books & was considered the greatest theologian of the 20th century. He was the Pope of Faith & Reason. He was 96 years old & 72 years a Priest. Pray for His soul. 🙏