Sijali utajisikiaje ila Wapumbavu wanaodhani UMARIDADI unaficha umaskini,Nawaonaga kama zero brain na wasiokuwa na muelekeo.
Umaskini Haufutwi kwa makoti,tai,marashi ya pemba Nk,Unafutwa kwa maarifa,dhamani na mpango mkakati bora wa kujiendeleza Period.
@privaldinho siku moja nilimsikia mchungaji anafoka hadharani " wimbo huu hauna uvuvio" nikajisemea hajui tu gharama na muda wa kuandaa wimbo,badala ya kuwaita na kuwakosoa yeye ana wadharirisha.
Starehe ya dakika 3 isikuharibie mfumo wa maisha yako mazima
●Acha kufanya mapenzi bila kondomu na watu ambao hujui hali zao
●Acha kunyonya Mbususu
●Acha kupiga miti wake za watu
●Achana kabisa na michezo ya kufilana.
@Celsius015 wanaweza kushitakiwa lakini mengine ni kuamua tu kunyamaza, ukichunguza vizuri hata huu ujenzi wa nyumba za ibada kwenye makazi ya watu hairuhusiwi ila nikuamua tu kunyamaza