Chuo cha DIT kimesema Agosti 1, 2026 kitarusha Satellite Angani, ikiwa ni hatua inayotokana na kuongezeka kwa Ujuzi, Ubunifu na Teknolojia. Hii itakuwa ni Satellite ya kwanza kurushwa angani hapa Tanzania.
SITOCHOKA KUKUFUNDISHA, AFANDE!
Nilifikiri kwa kuwa ni WAKILI, umesoma HISTORY kama mandatory subject. Lakini kila nikisoma maandishi yako naona somo hilo lilikuwa mama mkwe kwako.
Nitakupiga msasa hapa. Je, unajua lolote kuhusu SWADESHI MOVEMENT? Somo la siku nyingine hilo. Unajua kuhusu Mahatma Gandhiโs boycott movement?
Gandhiโs Boycott Movement - Vuguvugu la kususia la Gandhi lilikuwa sehemu muhimu ya Non-Cooperation Movement lililozinduliwa mwaka wa 1920โฆ.
Vuguvugu hilo lililenga kupata uhuru wa India kutoka kwa utawala wa Waingereza kupitia upinzani wa amani (peaceful resistance), bila kumwaga damuโฆ.
Vuguvugu lilihusisha kususia bidhaa, taasisi na huduma za Uingereza ili kutoa shinikizo la kiuchumi na kisiasa kwa serikali ya Uingereza waliokuwa watawala.
Vuguvugu lilijumuisha kuwashawishi Wahindi waondoe kazi zao katika shughuli yoyote ambayo iliendeleza serikali ya Uingereza na pia uchumi Indiaโฆ.
Kupitia โnon violenceโ waandamanaji wangekataa kununua bidhaa za Uingereza, kutumia kazi za mikono za mitaa, na maduka ya pombe ya kachumbariโฆ..
Tofauti na kuongeza kujitegemea kwa kusokota khaddar (kitamba cha Gandhi), kununua bidhaa zilizotengenezwa na Wahindi, na kugomea bidhaa za Waingereza..,
Non-cooperation movement (vuguvugu la kususia) lilitoa wito wa kusitishwa kwa mpango wa kuigawa Uturuki (Khilafat movement) and the end to untouchability.
Khilafat movement ilikuwa kampeni ya kisiasa iliyoanzishwa na Waislamu wa Kihindi - India iliyokuwa ikitawaliwa na Uingereza dhidi ya Turkeyโฆโฆ
Huu ulikuwa mpango wa kuvunja Milki ya Ottoman (Ottoman Empire) baada ya Vita vya Kwanza vya Dunia (World War I) na vikosi vya washirika (Allied forces).
Hii ilisababisha mikutano na migomo mfululizo iliyofanywa hadharani, ambayo ilisababisha kukamatwa Jawaharlal Nehru na baba yake, Motilal Nehruโฆ..
Waziri Mkuu wa Kwanza wa India, Jawaharlal Nehru katika autobiography yake โToward Freedomโ aliandika akiwa gerezani 1934/35 ameandika na kueleza;
โHili vuguvugu la kususia (The non-cooperation movement) ndiyo lilikuwa vuguvugu kubwa katika kutafuta uhuru wa India kutoka kwa Waingereza.โ
Hivyo, katika historia, Mahatma Gandhi alifanikiwa vizuri tu kuondoa matatizo na changamoto kwa KUSUSA. Waingereza walikuwa KATILI. Lakini ALISUSAโฆ.
Ukijitikisa kidogo ndugu Afande, nitakupa mfano mwingine wa โMaandamano ya CHUMVIโ. Hapa nitakueleza kuhusu SWADESHI MOVEMENTโฆ..
NB; Ubunge siyo makalio kwamba kila mtu atapewa.
๐จ๐๐๐๐๐๐
Mweyekiti wa Klabu ya Simba SC ๐ฆ Murtaza Mangungu Amegoma Kabisa Kuzungumzia Suala la Dabi na Mtani Wake Yanga SC ๐ฐAmbayo Imepangwa Kuchezwa Tarehe 25.
๐ฅ: EFM๐ซก
#MeaMswahiliUPDATES
Ukitaka kujua akili ya mtu angali tu KIATU anachovaa, hivi viatu wanavaa madogo wa form 5 kipindi wanaenda likizo, KILAZA aliyepo kwenye media kubwa.
SINIA LA WALI๐คฃ๐ฎ
Licha ya kuwa mwana CCM, wakili Wasongo anasema Lissu sio Muhaini. Anasisitiza kuwa kusema No Reforms No Election, hakuwezi kuwa Uhaini. Anasisitiza kuwa serikali iache ugomvi na vyama vya siasa.
#Repost_1000 tafadhari
Aisee Dunia huu mwaka tutaona mengi haya @ummymwalimu kumbe una PhD ya Umbea ๐๐ sema @SuluhuSamia alikomoa akakutumia clip yako dah ni trauma. Haya jiandae kwenda kulima korosha maana washakuona Toilet paper ๐งป
#TajiriLaKihaya
Binti yangu yupo PRE- UNITโฆ
Walimu wake wamenipigia leoโฆ eti kwa nini mtoto Hajaenda TUITION!!!?
Nawauliza mtoto mdogo hivi Tuition ya nn?
Wanasema eti mwakani Atakuwa darasa la Kwanzaโฆ hivyo inafaa ajue Kusoma na kuandika vizuri!
Nkawauliza nini hicho mnataka kukifanya ndani ya hizi siku 20 zilizobaki mwezi uishe ambacho mlishindwa kukifanya miezi mitano yote na mtashindwa kukifanya baada ya shule kufunguliwa Rasmi???
Wakakosa jibuโฆ nkajua ni njaaa tu- nmewatumia LAKI 5 wagawane ila nmewaambia Binti yangu Hataenda Tuition-
Mwezi wa Kwenda Madrassa huu๐
Alikuwa mrembo kuliko shida zake.
Jicho lake la kushoto lilikuwa na doa la huzuni, la kulia lilicheka na kila mteja.
Walimuita โDada Poa wa Buguruni,โ lakini jina lake halisi lilikuwa Anna โ msichana aliyeishi usiku, akatafuta mwanga ndani ya giza lililomtumia.
Mtaa wa buguruni ulimjua vizuri. Baa zilimwona kama kivuli cha uzuri.
Lakini hakuna aliyefahamu jinsi alivyohesabu kila senti, si kwa urembo wala starehe, bali kwa ndoto ya kuishi tena kama binadamu.
Mwaka 2021, katika chumba cha mpangaji .....