@TheRealJongwe Mi niliflash simu nikaja kubebwa na pingu mixa bunduki arafu nafika kituoni nkalazwa ndani dhamana wakagoma kunipa kesho yake nkatolewa usiku saa mbili na nkaambiwa hakunaga kesi ya kuflash simu. why nilinyimwa dhamana?
@abusumayyah_o@AbroadTanzania https://t.co/qS9pcg0V5Z
Hii ndio sababu nchi za karbu na Palestina hawawataki sababu ukiwakaribisha wanataka wakupindue wachukue nchi ndomana hawatakwi wanabondwa na wanabaki humo humo