Kimama haamini anachokiona ,
Alidhani na Lissu akikaa jela long enough basi atauza mechi kama Mbowe….
Yani hawajui wafanye nae nini….
Watanzania tupambane kuweka pressure juu ya Lissu kwa njia yoyote ile…….
Yes, WHERE IS NCHIMBI?????????? NCHIMBI YUKO WAPI?????
Ma bingwa wa key board na content creators tuko tayari.
Yani wamchafue @HecheJohn kwa vimali vya kuvuta kwa manati. Nimesikia sehemu wanaongelea takukuru. Hao Takukuru wamalize kwanza uchunguzi wa mali hizi ndo wakapambane na vimali vya trekta na milioni 20.
Uwiii hapo kwenye kumchafua kuhusu mali wabane matako yao unless kama wanataka kuliamsha dude upya…..
Nasemaje huko CCM achaneni na Heche kabla wanaharakati hatujaliamsha dude upya.
Hivi mnatoa wapi nguvu ya kuongelea bank statement ya Heche mtu ambae alikuwa mbunge kuonyesha vihela vya kubadili mboga alafu mna-ignore Bank Statement ya Wambura ya deposit ya 1B na Bank statement ya mtoto wa mshauri wa Raisi, Angela Kizigha ambayo ni ya billions over billions. Hivi nyinyi vichwa vyenu vina akili kweli?
Nyie Kama mnataka kuamsha hisia za wananchi upya kwa ufisadi wenu wa kihistoria basi endeleeni kuhangaika na Heche, kiongozi alieko uraiani aliepewa mandate na Watanzania kuwasemea na kuwaongoza kwenye kupata haki, basi Endeleeni na ujinga wenu, mta regret.
Yoyote anaetaka kuhoji statement za @HecheJohn aanze kwanza kuhoji hizi maana hizi bank statements ni moja ya sababu wananchi waliandamana October 29.
Ila jueni wanaharakati tumejipanga vizuri.
Ila CRDB sio bank ndugu zangu, mimi mwenyewe kiulaini tu nilipata hizi statement….
ANGALIZO; Nimepost upya coz nilisahau kublock namba za simu na namba za account. Maana huwa hawaruhusu kuposti hizo details.
Mange jana kaongelea vingi sana kuhusu LEMA yeye kachagua vya kujibu na mengine kaacha kwasababu hayajibiki.
Katukumbusha kwamba watoto wake kweli walikuja bongo sio uongo na sasa wamerudi "NCHINI KWAO CANADA" walikoishi kwa miaka 6 sasa.
Hoja ya msingi ambayo MANGE aliiongelea ni kuhusu huku kujali kwa Lema kwenda kwa SAMIA mbona hatukuona akijali kwa HECHE kufiwa na dereva wake?
Hii hoja hajaijibu kapita kama anaaga maiti.
Afu NABII wenu anatutishia kwamba sisi tunaomkanyagia, mambo mabaya yatatukuta hivi karibuni, anaacha kuombea hayo mabaya yamkute samia alieua MAELFU ya watanzania anatutabiria ubaya sisi.
Nikitumia lugha zangu mnasema sina heshima kwa viongozi, sasa huu na UKIBAKA kunatofauti gani?
Bado kuna Mitanganyika inayojifanya ina uchungu na October 29 itaendelea kusali kwa hawa matapeli wanaotumika na wauwaji wa October 29 kuwahalalisha kwenye jamii.
Hivi sisi Watanganyika tuna matatizo gani? .
Dah Ila huyu baba, hapana aiseeeeeeee.
Ukisikia rare gem ndio hii sasa.
Mandela wa Tanzania huyu hapa.
Sasa tusisikie mpuuzi yoyote anampush Heche kufanya maridhiano.
HATUTAKI MARIDHIANO YA KIHUNI!!!!!
Watanzania tumuombee Lissu…. Huyu ndio kiongozi pekee Tanzania anestahili kuombewa na wananchi, ukiacha Heche.
One of the most important lawsuits about Tanzania that seeks to curb the overreach of a violent regime!
Through the huge work of collecting real time evidence @mangekimambi has provided hundreds of videos and photos of killings yet @meta chose to bow to pressure and suspend her account!
We need international digital platforms to stand for the policies they publish including the protection of human rights and HRDs
https://t.co/dDDBmSg2uV
1. GEN Z, LEO MMEKUWA VINDICATED! Mpaka wazee sasa wamejoin movement yenu ya kudai haki………
2. Kama hali hii itaendelea Tanzania basi nawahakikishia ndani ya 5-10 years itaibuka armed group Tanzania. Historia inakwambia hili……
3. Jeshi la JWTZ, JESHI LA POLISI NA USALAMA WA TAIFA - VIMETEKWA KAMA CCM ilivyotekwa……
Tanzanian, today is good day, We are nolonger invincible to the world.
Our pain and our suffering is no longer being ignored by Western media.
American media is starting to care about our struggles.
We matter!!!!!
Thank you @nypost
https://t.co/oN0NjX064s
@SuluhuSamia@ccm_tanzania
This is what you did to the people of Tanzania for the sake of power and greed.
1st video: How do you justify shooting protesters as they were running away?
2nd video: How do you justify shooting people who were simply sitting in a café, not even protesting? This was about instilling fear.
3rd video: You went into residential neighborhoods and shot mothers who were simply sitting outside their homes. These children are scared forever.
4th video: This is not ordinary police ammunition. This is military-grade ammunition.
Thank you, @TechCabal.
But I would like to clarify something: I am not an influencer. I stopped being an influencer and became a full time activist about two years ago.
For many years, I moved between being an activist and an influencer, depending on what was happening in my native country, Tanzania. But for the past two years, I have dedicated myself fully to activism, and that is what I intend to do for the rest of my life, or until Tanzania is free from mass killings, kidnappings, arbitrary imprisonment, fabricated treason charges, forced disappearances, sexual torture, and the silencing of the media.
I will continue this fight until Tanzanians are truly free to exercise their democratic rights, to vote freely and fairly, and to choose their own political party, parliament, and president.
This is no longer a phase or a platform for me. It is a commitment to my native country and to its people.
https://t.co/ncJ7zqkVHt
More than a year in jail simply for asking for election reforms……..
@TunduALissu Stay strong, we are all behind you.
And we thank you for this sacrifice……….