Kwanza msomi wakwanza Tanzania ni Mhaya alikuwa anaitwa Justin Rweyemamu, Degree yake ya kwanza aliipata Marekani kwenye chuo Cha Harvard.
Huwezi kukuta Mhaya Mshona Viatu Wala Mpika Chipsi, na ukiona mhaya anafanya hizo kazi ujue ana degree na anafanya Kwa kujifurahisha tu.
🗣️Mpoki
Sina haraka na maisha jasusi la mbinguni Gwajima akiwa na kijana wake ambaee kwa sasa naeee ni pasta mwamposa maisha yanaitaji mda Mungu anajibu kwa wakati sahihi
Tutaelewana tu sio muda mrefu wachambuzi wenu kutoka Machame, Rombo na Kishumundu hawataamini Macho yao.
Tusubiri Watakapo Saini makubaliano mtamuona Kubwa la Maadui
Zitto kabwe na wenzake tuliwafukuza CHADEMA kwasababu walitengeneza njama basically kutengeneza chama ndani ya chama ili wafanye mapinduzi~ Mhe Lissu 2015