Hawa jayrutt @SimbaSCTanzania ifike mahali muheshimu privacy ya mtu basi. Meseji zaidi ya 10 kwa siku zinajirudia mmepanick nini mauzo ya jezi tu ? Website inashida hio fanyieni kazi
@kasesco_tz Sio kweli utumwa ni fikra tu. Maintain " work balance" hata ukijiajiri bakora ni zile zile tu cha msingi ufurahie unachokifanya na kikupe pesa