Kufuatia likizo ya muda aliyopewa Mwendesha Mashitaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), Karim Khan, mmoja wa manaibu wake, Mame Mandiaye Niang, anatarajiwa kuongoza mashitaka dhidi ya rais wa zamani wa Ufilipino, Rodrigo Duterte.
TAZAMA: https://t.co/ZBqDJvBiCz
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu tayari amefikishwa kwenye chumba namba 1, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kwa ajili ya kuanza kusikiliza kesi zinazomkabili
kutoka Guinea Conakry.
Ushindi huu unamfanya Yericko kuwa Mtanzania wa kwanza kushinda tuzo sita mfululizo ndani ya kipindi cha miaka miwili, akionesha ubora wa kipekee na kujitolea kwa hali ya juu katika kukuza fasihi na uandishi barani Afrika.
Mwandishi nguli wa vitabu barani Afrika, @YerickoNyerereT , ameendelea kungโara katika tasnia ya uandishi baada ya kutwaa Tuzo ya Mwandishi Bora wa Vitabu katika hafla ya Young Achievers Awards Africa iliyofanyika usiku wa kuamkia leo jijini Kigali, Rwanda.
Katika kipengele hicho cha ushindani mkali, Yericko aliwashinda waandishi mahiri kutoka mataifa mbalimbali wakiwemo Ncamiso Xaba kutoka Swaziland, Upendo Kitundu na Omary Mwesongo kutoka Tanzania, Meda B Kanana kutoka Congo DRC, Francis Mwamba kutoka Zambia, na Bademba Barry
Umoja wa Kimataifa wa Demokrasia (IDU) umetaka kuachiwa huru mara moja kwa mwanasiasa wa upinzani nchini Tanzania, Tundu Lissu, wakisema kukamatwa kwake ni ukiukaji wa haki za msingi za kisiasa na demokrasia.
Mwanamuziki nyota wa Bongo Fleva, Harmonize, amevunja ukimya kuhusu madai ya Ibraah kudaiwa Shilingi bilioni moja ili aweze kuondoka rasmi katika lebo ya Konde Gang.
TAZAMA: https://t.co/qtqpJOqKEz
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) inatarajia kuunganisha mfumo wa gesi ya kupikia katika nyumba takribani 865 mkoani Mtwara kwenye maeneo ambayo yana miundombinu ya bomba la gesi.