Hii OUTPUT inatokana na INPUTS!
Hongera sana kwa viongozi wenzangu wa Kanda ya Nyasa wa ngazi zote. Toka Kanda, Mikoa yote 5, Majimbo 32 na Kata na Matawi yote… Chama kiko salama na imara kuliko jana!
#FREELISSU#KatibaMpyaNiSasa#LiMwenyekiti
Hiyo “Most trusted” lilikua ni bomu la leo ila hao wasweden, wanaamua kulaza njaa mitaa.💔
Nani aliedit hiyo slip? Naamini ataenda kula hapo odds 220 hizo
Acha Ubishi bro! Uchumi upo kwenye NYAKATI (Wakati wa Baridi uza Blanketi, Duveti, Makoti, Masweta) Wakati wa Joto (uza maji baridi, juice, ice cream, barafu) Wakati wa Mvua (uza miamvuli, Mabuti)
Nyakati Nyakati Nyakati. OMBA NEEMA YA MUNGU UTAMBUE NYAKATI kifursa.
Wanachuo🇹🇿
Mjasiriamali Kamsome NEHEMIA👂
(Kitabu cha Nehemia)
Aliwezaje Kuujenga Upya Mji wa Yerusalemu ndani ya siku 52 tu.
Paragrafu ya 1 ina kila kitu.
USIPUUZE KUSOMA NENO LA MUNGU.
NEHEMIA
Wawekezaji wa odds 2,3,5 tupieni jicho kwenye ligi za Sweden Superettan,Division 1,2.
Ongezea Finland & Uzbekistan kuna hela za bure pale.💰💰
Ligi ina magoli sana na odds Kanji anajichanganya mno pale.🔥🔥
“Tuendelea kuomba, na tusikate tamaa. Miujiza hutokea kila siku, hivyo tusiache kuamini kamwe.
Mungu anaweza kubadilisha mambo ghafla sana katika maisha yetu.”
Isaya 60:20-22✨✨✨🙏🏾.
Biashara za kukupa wewe UBILIONEA zipo chache sana...
Na wewe huwezi kuziingia kiurahisi..
Zina hadi sheria zimeundiwa..
Chance yako pekee ni kufanya kitu KIPYA.!
BAAAAAAAS..!
🇹🇿 Mtu aliyekuwa analipwa TSh 5,000,000 mwezi Desemba 2025 na bado analipwa TSh 5,000,000 leo (1 Juni 2026) amepunguziwa mshahara.
Kimya kimya.
Desemba 2025: 1 USD = 2466 TSH
TSh 5,000,000 = ~$2,028
Leo, June 1 2026: 1 USD = 2610 TSH
TSh 5,000,000 = ~$1,915
Ili ubaki na thamani ile ile ya mshahara wa Desemba, leo ungehitaji kulipwa karibu TSh 5,294,320.
Maana yake umepoteza karibu:
❌ TSh 294,320 kila mwezi
❌ TSh 3.5 milioni kwa mwaka
Bila kupunguza mshahara wako.
Bila kubadilisha kazi.
Ndiyo maana watu wengi duniani kwenye nchi mbali mbali wanaanza kuhifadhi sehemu ya akiba yao kwenye USD na stablecoins. - Yaani USDC AU USDT.
Sio kwa sababu wanapenda usd.
Ni kwa sababu hawataki pesa zao zipungue thamani.
Mimi naona kuna fursa kusaidia watu kununua tbills / UTT au public market stocks Tanzania ili waweze kupunguza hasara.