Zamani wazee wetu umri wa miaka 30 mpk 35 tayari wana watoto wameoa na wana mali tofauti siku izi mtu mpk anafika miaka 35 bado anakula ugali wa shikamoo!! 😂🙌🏽
Tuliwaambia kuwa Samia alichokifata kwa Putin ni msaada wa kutokuwajibika na vifo vya October 29. Alichokifata Moscow ni ulinzi wa kuachwa madarakani bila kuchaguliwa na wananchi.
Hiyo hegemony hapo maana yake ni nchi flani kuwa na nguvu kubwa ya kisiasa, au economically juu ya nchi zingine. Au kwa kiswahili hii hegemony unaweza sema ni mamlaka, yani nchi flani kuwa na mamlaka juu ya nchi ingine. So Samia na Putin wamekubaliana watapambana dhidi ya hegemony ya Marekani na Western countries ili Samia awe free kuua na kuteka Watanzania bila kuingiliwa na nchi yoyote.
Ila Watanzania hata kama bado hatujashinda vita ila angalia tunashinda some battles along the way na tujipongeze. Aiseee 8 months later bado tumesimama kidete juu ya October 29 mpaka muuaji kakimbia kutafuta ulinzi wa dikteta mkuu wa dunia. Hakuna kutoa mguu kwenye gesi mpaka yeye na Putin wadondokeee pua….
Na nawahakikishia lazma kamuomba Putin amuulie Nchimbi kama itashindikana kumuondoa kupitia bunge. This I guarantee…..
@SenTedCruz@SenatorShaheen
Mawingu atabaki yule dogo wa chaka to chaka bed to bed midfileder na yule janja aliyepewa crown kama limbikizo la mshahara wa miaka 10 naona magwiji wanasepa ile media
@mgwisha246159@MariaSTsehai Tutapitishwa tena na tena kwenye Bonde la Uvuli wa Mauti kabla ya kuufikia Ukombozi kamili....Tusiogope tusimame Imara. .Sihitaji kuwa na Cheti au Cheo ili kusimama upande wa Haki. ALUTA CONTINUA.