Wanawake wajasiriamali wamefanikiwa kuhudhuria siku tano za mafunzo yaliyoandaliwa na @STEMiAfrica kushirikiana na @NdotoTimiza kupitia program ya #KuongozaProjectTz2025 inayolenga kuwainua na kuwajengea uwezo wanawake wajasiriamali kidijitali na namna ya kusimamia biashara zao.
Rushwa ya ngono ni Ukatili wa Kijinsia. Period!
Kwa kushirikiana na LHRC, TAWLA na WAJIKI Tanzania, jumamosi tulikuwa na mjadala wa kina kwenye #ElimikaWikiendi kuhusu rushwa ya ngono, namna ya kutambua, haki za waathirika, njia za kuripoti na msaada wa kisheria uliopo.
Je, wajua?
Si kila manusura wa GBV ana michubuko au majeraha yanayoonekana. Wengi hubeba maumivu ya kihisia na kisaikolojia kama hofu, msongo wa mawazo, aibu, kupoteza kujiamini na hata kuacha shule au kazi.
#ElimikaWikiendi
Je, wajua?
Ukimshuhudia rafiki yako akipitia GBV, usimhukumu kwa kumwambia;
“Kwa nini ulienda?” au
“Kwa nini hukukataa?”
Badala yake tafuta namna ya kumsaidia iwe kisaikolojia, kisheria nk.
#ElimikaWikiendi
Je, wajua?
Kutokomeza GBV ni sehemu muhimu ya kufikia Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs), hususan SDG 5. Usawa wa Kijinsia. Jamii haiwezi kufikia maendeleo jumuishi wakati sehemu ya watu wake wanaishi katika hofu, ubaguzi au ukatili unaotokana na jinsia.
Je, wajua?
Ukatili wa Kijinsia ni ukiukwaji wa haki za binadamu. UN Declaration on the Elimination of Violence against Women (1993) inatambua GBV kama kikwazo kikubwa kwa usawa wa kijinsia na maendeleo.
#ElimikaWikiendi
@ElimikaWikiendi Kwenye hili naweza sema tunahitajiana kwa sababu pesa inaweza kupotea muda wowote na kama hauna backup basi ni stress tupu. Wanawake ni ubinafsi tu unafanya tuone kuwa wanaume sio level zetu tukifanikiwa ila ukweli ni kwamba maisha ni kusaidiana na kubebana.
Kutoa uhai wa mtu haijawahi kuwa sehemu ya kutatua tatizo, Mungu hajaruhusu kuua na Ndio maana kwenye amri kumi za Mungu kuna amri ya “USIUE” pumzika kwa Amani Kijana mzuri, binadamu wabaya wameamua kukupokonya uhai wako😓 Mungu atakulipia.
#justiceforTemba
We’re looking for 1,000 Online Volunteers in Tanzania 🇹🇿
Volunteer remotely with UNV to support UNICEF & WHO initiatives—build skills and make real impact.
⏰ Deadlines: WHO 27 Apr | UNICEF 30 Apr 2026
app via links 👇
https://t.co/zWY0F00UrG
https://t.co/Za0WwuXhas