@mshana76@swahilitimes Usitumie hisia.. uhifadhi wa dhahabu benki kuu umeanza mwaka wa fedha 2021/2022.. mpk sasa ni miaka mi5 tumeanza wa 6.. kwa hio trend kwa miaka 10 ijayo itatuweka pazuri.. tulichelewa sn kufanya hilo jambo
@Itsmwendwaa@Gitz__ And this is a problem.. people are referring Addis Ababa as Ethiopia.. the whole country is a mess but thanks to huge investments on it's capital to deceive people's perceptions about them as a whole
@RKishaija81715 Pia.. Uganda atahudumia bajeti yake mwnyewe kwa makusanyo ya kodi 10bn USD.. Tanzania 14 USD.. Uganda atakopa kutoka nje 10bn USD wakati Tz atakopa kutoka nje 5.7 USD.. Nadhan ss umeanza kuona tofauti.. NI KWELI UCHUMI HAUDANGANYI
@RKishaija81715 Hazilingani bro.. Uganda bajeti yao ni Tzs 58 Tri.. Tanzania Bara bajeti ni Tzs 62 + 8 Zannzibar so Tanzania bajeti ni Tri 70.. 12 Tri zaidi ya Ug.. Now issue ni Nani anatekeleza Bajeti yake kwa % ipi..
@KewPak@HyceeTheFirst@elonmusk@Coinvo Look who are it's neighbors? while China and Thailand thrives.. Vietnam would've been stupidest nation not.. the same applies to Honkong Korea Singapore and now Indonesia and Philippines.. Africa isn't allowed to have visionary minds..
@Tochukw19493997@DanFriedman81 Do you think it is by coincidence that all of the Sub Sahara Africa has bad leadership? Why isn't there a single country that is developed? Just one of which we can learn?
@reneiloe_m@underalive84@elonmusk@Coinvo Being saying this all long.. it isn't by coincidence that all sub Sahara nations has bad leadership.. why isn't there just a single 1 developed country within Sub Sahara? Once we got good governance, it doesn't last long
@FERVIDDESMOND16@underalive84@elonmusk@Coinvo I think at some point many African nations cracked some codes on how they can develop. Some even got good leadership and governance but there are external forces that doesn't allow that to happen for a long time.. that's my take, WE ARE CONTROLLED
@FERVIDDESMOND16@underalive84@elonmusk@Coinvo Do you think it is by coincidence that all Aub Saharan countries has bad leadership? Why there isn't even a single country that is developed? Like all of the 40+ nations has bad leadership is that by default?
@videopluger@realcasa777@elonmusk@Coinvo So is it by coincidence that all sub Sahara Africa has bad leadership? Why isn't there just one example of a developed nation within sub Sahara Africa?.. just 1 country capable of showing others that this is the way? Is it by default?
@KennedyMmari Wamechgua eneo moja (Region/mji) wanauendeleza kwel kwel.. binafsi siipendelei hii model.. it's like tuamue kuinvest like 40% Bajeti yetu kwa Dar es Salaam pekee.. Ethiopia kuna maeneo without school in 150km perimeters, but Tz huwez kukuta ndani ya 50km perimeters hamna shule
@hamis_abas@NashiruMusa18 Haya ni madirisha matatu winter window 2025, summer window 2025, na winter window 2026.. still haijafika ยฃ500m.. But I know, Banters involve exaggerations
@Lemawakwanza@MseccoJ@KennedyMmari Nina uhakika nacho.. hakuna barabara yenye payload kubwa kuliko barabara ya (Kibaha - Chalinze).. zinazoitwa barabara bora Rwanda ni town roads na sio Regional roads.. huwezi kulinganisha