Kuzaliwa mwanaume haijawahi kuwa kitu rahisi miaka nenda miaka rudi.
Unakua hauna option zaidi ya ku face challenges za maisha ili kufurahisha nafsi yako, mke watoto pengine na ndugu wanakuzunguka.
Ukishakua mwanaume hakuna haja ya kuogopa changamoto, unakua kama mwanamke alieolewa anakua hana option zaidi ya kutoogopa mboro na kulala uchi.
Lets man up and face hizo challenge, sio wewe pekeako.
@prossoff Asijichanganye, ataanza kupangiwa matumizi, ukisema Hela huna unaanza kuulizwa jinsi ulivyoimaliza, A man should be Unpredictable in every move he takes