MY CONCERN TO ALL LADIES WHO DESIRE TO BE IN MARRIAGE ONE DAY
"Ndoa bora haitokei pale wapenzi wakamilifu wanapo kutana, bali hutokea pale wapenz wenye mapungufu wanapojifunza kufurahia tofauti zao" Katka ndoa tofauti ndio uimalisha ndoa maana kila mtu alikuja na tabia zake
Imagine kitakachotokea kwenye pharmaceutical companies zinazotegeneza ARVs, hypertensive medicines, au antidiabetics.
The same way kwenye arms trade, imagine bila vita vya kila siku hizi kampuni zitapata wapi faida?
Julai 2024, Nala iliripoti kujiendesha kwa faida kwa mara ya kwanza tangu kuanzishwa kwake, na hii nu hatua muhimu sana kwa kampuni.
Maana Yake ni Nini kwa Nala?
1. Utulivu na Ukomavu: Kujiendesha kwa faida kunadhihirisha kuwa Nala imefikia hatua ya ufanisi wa kiutendaji ambapo mapato yanazidi gharama za uendeshaju. Hii inaonyesha kuwa system ya biashara ya kampuni imekuwa na wanaweza ku- scaleup.
2. Kuongezeka kwa Imani ya Wawekezaji: Kufikia faida kunawaongezea wawekezaji imani, kwani inaonyesha uwezo wa kampuni wa kuzalisha faida. Pia huvutia wawekezaji wapya.
3. Nafasi ya Kupanuka: Kwa kupata faida, Nala inaweza kuwekeza tena katika shughuli zake, kupanua huduma zake, kuingia kwenye masoko mapya, au kuboresha miundombinu iliyopo.
4. Ongezeko la Thamani ya Kampuni: Kadri faida inavyozidi kuimarika, thamani ya Nala itaongezeka, na hii itanufaisha kampuni na wawekezaji wake wa sasa kwa kupata faida kubwa zaidi katika raundi zijazo za ufadhili au kuuza hisa.
Kwa wawekezaji, hii inamaanisha kupungua kwa risks, kuongezeka kwa imani juu ya faida, na ni kampuni iliyopo katika nafasi nzuri ya mafanikio ya muda mrefu (sustainable business)
Pia inafungua mlango kwa gawio— dividend na fursa za kuuza hisa kwa bei nzuri zaidi siku zijazo kampuni itakapofanya public initial offering, IPO.
@hadjiabdul48@Sirjeff_D@Eng_Matarra Ndio maana ana haki ya kushauri from experience, ameona hayajamlipw Chochote😂 Sasa what did machozi paid him zaid ya kuaibika leo anachekwa..?
@Sirjeff_D@Eng_Matarra Sir achana nae, let the world teach him that, He can never finish a battle with a woman with a winning cup easily.
Mwanaume anaejitambua hashindani na mwanamke.
"Ni kweli tuna watu wana mabehewa yao na hii imeanza tangu miaka ya 80 na tuna mabehewa mengine kutoka Uganda na tupo kwenye mazungumzo, tunaruhusu kuwa na vichwa vya treni, TRC tunaruhusu mtu kuwa na Treni yake na mabehewa ya kwake, unapojenga nyumba ya vyumba 100, halafu unalala chumba kimoja itakuwa haina maana, lakini kama umejenga vyumba 100 halafu ukapangisha 99 ukalala kimoja utategeneza faida," - Masanja Kadogosa, Mkurugenzi Mkuu TRC.
#EastAfricaTV