Tangu jadi, Mto Yala umekuwa kitovu cha maisha kwa maelfu ya wakazi wa ukanda wa magharibi,
Lakini leo, mto huo umegeuka uwanja wa uchimbaji wa dhahabu.
Raia wa kigeni wamevamia mto huu kwa mashine kubwa, wakiuchimba na kuuharibu wakidai kuwa wanasaka utajiri uliojificha chini ya maji yake.
#HaramuYaDhahabu
Raia hawa wa Uchina wamevamia Mto Yala kwa mashine kubwa, wakiuchimba na kuuharibu wakidai kuwa wanasaka dhahabu.
Kwa mujibu wa wanakijiji hapa, iwapo mashine hii itaruhusiwa kufika kwenye daraja la Chavakali, basi Mto Yala utabaki tu na makapi.
#HaramuYaDhahabu
Mwananchi ajitolee, aamke 5am, akae kwa jam mpaka afike job 7:30am. Then apige 8-5 yake. Alipe 30% tax. Alafu bado aswim akienda home while fighting for his life.
Aren't we angry enough Kenyans?
We don't have godfathers. We are our own godfathers and therefore, we must always stand with each other in times of need.
We are all pushing the #FreeMumbiSeraki .
If this post appears on your TL, type #FreeMumbiSeraki#RailaRutoMustGo