Makocha watalalamikia ratiba mpaka watuoneshe Upana wa vikosi Vyao Wakiwa kama Timu kubwa Tz
Oct 29 Simba🆚️JKT 🏠
Nov 1 Mashujaa🆚️Simba🅰️
Nov 5 Simba🆚️KMC🏠
Oct 30 Singida B.Stars🆚️Yanga🅰️
Nov 2 Yanga🆚️Azam🏠
Nov 7 Yanga🆚️Tabora United🏠
Nov 10-18 AFCON QLF MD 5&6
@vliandro_gerald@azamtvtz Nasikia pale ni ngumu kuweka kamera vizuri sababu Ipo karibu na jeshi sijui ni kweli ila tutaona kesho ila mechi zinakuwaga na angle mbaya hata unashindwa kuinjoi
@ShukuruAmos Kuna wakati nashindwa kuelewa ni kweli serikali inataka hii cashless economy au haipo tayari maana makato ya cashless au mtandao ni kivumbi
@BracuszCadabra Huyu kocha wasauzi walisema mapema kabisa amepataje kazi kwenye timu kubwa Sasa naanza kufuruhia maneno Yao. Hamna kocha humu labda kama hawataki wafike hata robo kimataifa.