Habari ndugu zangu ,nimepotelewa na mzaliondoka tangu Jana nyumbani kwa maeneo ya pugu kajiungeni, mara ya mwisho alikuwa amevaa tshet ya njano na suruali nyeusi,kofia na miwani,atokae mwona atoe taarifa kituo chochote cha police,au piga sim no, 0762210557 msaada wenu
@JerrySilaa Kiongozi pole kwa majukumu, kama utapata mda naomba tembelea kata ya wazo/mivumoni , watu wamelipa gharama za upimaji yapita mwaka wa pili ila sababu ni nyingi sana hati kutoka.
Huduma zingine zinatembea wakati ardhi bado wanajitafu.
@VodacomTanzania Habari Voda,
Hivi inawezekana voda shop akashindwa kumtambua mtoa huduma wa Lipa namba katika eneo lake?
Pia umakini wa.kufatilia taarifa za matukio ushirikiano upo chini kwa tukio lilinitokeo.
Mteja kakubali kupoteza 100k kwa kukosa ushirikiano.
@tanescoyetutz@EmmababaE Naomba kujua ni.mda gani mteja hupigiwa baada ya kutoa taarifa?
Namba ya whats up hata haisomwi karibu saa 1 tangu itumwe taarifa sasa, ukipiga aimu unaambiwa utapigiwa na ni zaidi ya masaa 4 kimya.
Hizi ni dharura kweli ndugu zangu?
@VodacomTanzania Nahitaji kuwasilisha taarifa ya mmiliki wa simu ambaye hakuweza kuiwasilisha kutokana na changamoto zilizo nje ya uwezo wake kuweza kuiwasilisha kwa namba yake.
@Deutsch_Queen@Hakingowi This is serious,He is my Father, tumefanya mengi but still atukuwahi kupata taarifa zake.
But still atujapata mafanikio yeyote.