The first ever gold medal for Botswana in the history of the OLYMPICS.
Letsile Tebogo just did that ‼️
19.46 AREA RECORD in the men's 200m final 🤯
#Paris2024#OlympicGames
@NMBTanzania Tunaipongeza Management kwa kutuletea Tawi la NMB - Kibada Kigamboni, ila tunaomba Shed katika eneo la kusubiria kuingia katika ATM, jua na mvua ni kero kwa wateja!
@INFLUENCERjr@HKigwangalla@SimbaSCTanzania Tatizo ni hela ya kuendesha club, huko nyuma team ilikua mikononi mwa wananchi kwa 100%, mbona hawakuweza kununua hata kiwanja cha 20*20 hata Kibaha?
Mfumo bila hela ni Mfumo hewa mzee!
TAARIFA KWA JAMII;
Mahsusi kwa wenye moyo wa upendo wa kulea watoto Malezi ya Kambo na baadae Kumuasili awe wake kisheria.
UTARATIBU;
1. Maombi huwasilishwa kwa Mkurugenzi wa Halmashauri.
2. Afisa Ustawi wa Jamii humtembelea mwombaji na kufanya tathmini.
3. Taarifa huwasilishwa kwa Kamishna wa Ustawi wa Jamii Wizarani.
4. Iwapo hakuna hoja pingamizi, kibali cha mwombaji kumtambua mtoto hutolewa.
5. Afisa Ustawi wa Jamii huendelea kufanya ufuatiliaji wa maendeleo ya familia iliyomtambua mtoto na kupewa wamlee malezi ya kambo.
6. Taarifa ya maendeleo ya malezi ya kambo baada ya mathalani miezi sita hivi huwasilishwa tena kwa Kamishna, kwa ajili ya kuthibitisha kuwa maendeleo ya malezi ya kambo ni mazuri, hakuna changamoto hiyo, kibali cha kwenda mahakamani kuomba ridhaa ya Kuasili mtoto huyo kitolewe.
Tafadhali tuelimishe wengine, maana wengi wanapenda kufanya malezi ya kambo na kuasili ila hawana taarifa za utaratibu.
Iwapo kuna changamoto au hitaji la ufafanuzi, namba za simu kituo cha wizara: kupiga 0734986503/ 0262160 250
Kupiga na kuandika ujumbe 0774112233/ 0769608130/ 0766400168.
Iwapo kuna atakayehitaji rufaa kwa Waziri kwa kuokoa muda, aandike ujumbe na atume kwenye na. 0765345777 nakala 0734124191 kisha, nitamuongoza, kumshauri au kutatua changamoto yake kulingana na ilivyo.
Ulimwengu wa kidigitali ni chachu kwa maendeleo na ustawi wa jamii 🇹🇿
Tunawajali Wateja wetu, 🙋
Karibuni, mweleze habari hii na mwingine. 🙏🏽
Kila mwaka China huagiza matunda ya thamani za Dola za kimarekani ya Bilioni 8.6 , sawa Tsh 22,167,962,000,000/= trilioni ishirini na mbili bilioni mia moja sitini na Saba na milioni mia Tisa sitin na mbili
Nini Afrika inaweza kujifunza kutoka katika soko hili la Wachina.? #KilimoNiAjira
@AcademyFarms