@HecheJohn Ukienda ofisi xa ttcl utaambiwa router hazipo ila kuna duka posta ukanunue, Mkurugenz wa ttcl anaweza fanya safari moja ya china akapatiwa router 30M kwa masaa mawili, Tz kuna tatzo kuna Gen inabidi ife ifutike imejaa fuza kichwan, kama uliimba mchakamchaka chinja hutufai,kufa
@VungaEl74 Cuba vipi walimtoa au acha uongo jomba washafeli mishrn kibao na wanazielezea ikiwemo Ghana ambapo afisa wa CIA demu aliuza file
Baada ya kifanyiwa honeytrap na kusababisha wana kuuwawa mpska sasa yupo jera, cuba afisa demu aliuza mchongo kasome vizuri
@Psiteshio1 Kqa mda rulidanganywa hivi lkn sio kweli, N korea, China, India, Russia, japan kuna vitu vikubwa binafanyika na hakuna dna yao, ni brainwash walifanikiwa zaman ila sasa dunia inatambua ukweli
@255antos @iswahiliworld Wide na closeup haziwezi kua na dwpth of field sawa but hapa utagundua same depth of field zmefanana kila kitu japo source ya light ni angle tofauti kwa kila camera
@nulphin Last china unayemaifia aliwahi piga mkwala kuwa Nasy Pelos akitua Taiwan atashusha ndege yake mn kilitokea,ntakuoa mfano ukiwa baba unaongea sana bila vitemdo unapoteza mamlaka yako, kitendo cha china kumtisha kamikaze kisha kutoact kilimahusha na USA anajua anachokifanya
@sosiholics@ErnestKavol4 Ujeruman kulimbilia russia na kule wakafanya mapinduzi ya tech ndo tunaona leo russia iko vizuri kwenye siraha, but main battle ipi waliyopigana wakawa tishio, ungenambiq German sio russia ,russia ambayo ilishidwa kuzuia majimbo kujitenga yakameguka unazungumzua historia ipi
@sosiholics@ErnestKavol4 Tofauti ya marekani n kuwa maisha yao yte wako vitani wametroboshoot mambo mengi practically, mchezaji aliye uwanjani ni tofauti na mchezaji wa benchi simply n kuwa ana experience field kakutana na changamoto kazifanyia kazi, wewe ambaye hauko vitan ni tofauti
@ErnestKavol4 Utajiri ni pale unapoweza kukusaidia unalala njaa ,huwezi gharamia elimu bora then unajiita tajiri au una utajili basi una tatizo la fikra huwezi simamia huo utajili unaojivunia nao mpaka Yesu anarudi mtaendelea na hizo kauli wakati mpo hoi hta kusimamia mambo yenu hamuwezi
@ndendefwa@Nipashetz Sjawah soma sehem Mungu akimuhesabia Yakobo dhambi kuwa na wake wanne, wala Ibrahim kuzaa na mjakazi ,wala Sule ,wala ,Daudi nadhan mungu huyu wa sasa anaweza kuwa tofauti na mungu yule maana sidhan kama kashtuka sasa kuwa n dhambi ila kipindi kile hkujua n dhambi
@PascalMinja4@ErnestKavol4 Ukiweka ila viongizi means wamewekwa na Mungu au na sisi,why tuweke viongozi wabovu wenzetu waweke viingozi bora,hujaona tatizo letu hapo mzee, tuna excuse nyingi sana
@PascalMinja4@ErnestKavol4 Maskini wa kila kitu hata mawazo ndo maanq tuko hivi miaka yote hatuwezi hta simamia mambo yetu, huwezi nishawishi vinginevyo matokeo yalivyo yanareflect who wre are, hujaona tatizo...huwezi nambia wewe ni tajiri ila...ukatoa excuses,simply wewe n maskini no excuse
@moodewji Tajiri unalialia sana huweki wazi tatzo nini, me nadhan unataka tems zake na sio tems za simba ,
Acha kulialia fanya maamuzi unawekeza au la simba watafute muwekezaji mwingine
@fuad_fx_@millardayo@moodewji Tajiri analialia myandaoni kila siku,huyu mbabaishaji kila siku nakwamishwa unakuja kulialia sisi tukueleweje unakwamishwa wapi,na nani we si ndomwe pesa acha ili tuone ,mpira una pesa sasa hawezi weka wazi aseme,tatzo anataka terms zake yy kama DP world na sio tems za simba