"Haiwezekani mwanaume awe ametumia miaka mingi kujenga utajiri wake, kisha mwanamke aingie kwenye ndoa, afanye madudu, na mwisho wa siku atoke na nusu ya mali za mwanaume huyo utawekwa utaratibu mzuri ili kuwalinda Wanaume" :- Rais wa Marekani Donald Trump
Waliomteka nyara wanajulikana. Ni watu wa kikosi kazi chenye makao makuu yake nyuma ya Kituo cha Polisi Chang'ombe, Dar es Salaam. Kikosi kazi hiki ni kundi la maharamia, hata kama wanajiita askari polisi au usalama wa taifa na wanalipwa mishahara kwa kodi zetu. Ni kundi haramu.
ALERT: Polis wanaye Deusdedith Soka na wenzake. OCD wa Chang’ombe na Chalamila wanajua kila kitu. Maagizo ni kuwa Deus asiuone huu ulimwengu tena. Wanadai anajifanya mjanja. Kelele mnazopiga zinawatia hofu kutimiza adhma yao ya kuondoa uhai wake. Fungeni na kusali, mbele kiza. 🙏
Balozi wa USA Tanzania, Michael Battle, @USAmbTanzania amemtembelea Mwenyekiti wa CHADEMA - Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi (SUGU), @TheRealJongwe, baada ya kutoka hospitali alipokuwa akipata matibabu baada ya kupigwa na polisi 11.08.2024 Mbeya. Balozi amesikitishwa sana.
Kamchoma Rais au kachoma KARATASI au kwa English EFFIGY ya Rais?
Tatizo ni DPP na Mahakama zetu. Atakamatwa na kupelekwa Mahakamani na kama kawa watatumia HISIA badala ya SHERIA kumfunga.
Inasikitisha kuona vibaka na vibaraka wa CCM wanataka kumng’oa Kamishna wa TRA kwa sababu za kijinga kabisa, TRA inatekeleza matakwa ya Sheria zilizotungwa na bunge ambalo CCM ina super majority, matatizo ya wafanyabiashara yatatuliwa na amendment ya sheria sio witch hunt.
Kusaidia mtu/watu hakuna tatizo tatizo uwanza pale unapo weke matarijio juu yao (kutoa msaada ni baraka) toa ukiwekeza kwa Muumba na sio kwa mwanadamu, kwani hata hapo ulipo fika ni kwamisaada ya watuwengine. Ishi.
Taaluma ya uwandishi imekufa? Media inampaje mtu platform ya kupotosha na kuongea uwongo kisa wamelipwa? Is objectivity and balance in journalism not longer important? Njaa zimepitiliza mpaka professionalism haina umuhimu tena?
Nime Msikiliza vizuri Mbunge Luanga
Mpina,
Kwalugha nyepesi anasema "tunaendelea kukaa kimya kuhusu sera ya uchumi anao uongoza Mwigulu.
anamaliza taifa letu, Sababu anakopa sana, anauza Mal Asil zetu, anapandisha Kod sana. hakuna anachokifanya mishahara iko chin maisha magumu
@YerickoNyerereT@EdgarCLungu@HHichilema Tatizo sio Afrika au Mtu mweuisi tatizo ni mtu mwenyewe kwanini usiweke mfumo imara ukiwa kwenye nafasi yakufanya ivyo? Ukisema umlaumu mtu kwa kuwa ajafanya ulivyo taka wewe nae atakuambia mbona mm nilifanyia ivi? Kwahiyo maisha ni weww nasio Istoria
Kumbe unalifahamu hili ? Mbona 2015 ulifanya kinyume chake ? Nayakumbuka maneno ya Jenerali Ulimwengu kuwa Marais wa Afrika wanapata akili wanapostaafu ! https://t.co/XigTHImtFY