@EsirEid Mzee jifunze kwanza soka, kipa akiwa mbele ya mchezaj mchezaji yule ndie anahesabika kama kipa. So mtu wa mbele yake ndio atakua wa mwisho kwenye offside
@emabilly2001 Labda kama ww ndio mgeni hiyo tetema ilishampa tuzo kubwa tu na Maslow makali sana, kashapiga collaboration kubwa na hiyo ngoma so huyo dada kaingia kwenye script ya ray na yy ndio anatakiwa kushukuru sio ray
@George_Ambangil Hata afanye nini hamna mchezaj wa kusema unamlilia bado chelsea haijapata replacement nzuri ila Jackson hana kiwango cha kucheza chelsea
@George_Ambangil Ambangile wewe miaka yote unatuambiaga hivi kuhusu hiyo timu ila mwisho wa siku Hola, kila mwaka unatuambia hiyo timu ni bingwa swali langu ilikua bingwa mwaka gani