#DearNyerere Sawa tuna dhambi sana tunatesa watu lakini sio ndo watake kutuunguza huku huku duniani tutakuja tu huko,, jana walianzia Moshi.๐๐๐
#DearNyerere Waambie tulivyosema njoo uone nchi ilivyobadilika hatukuwa na maana tumejenga safina kama Nuhu, ona jana walivyotutia aibu na mvua yao.๐ค๐ค๐ค