@imaaJr_@Disaste94443846 Total rubbish. Benzoate iko kwenye kila soft drink. Nathaniel unazungumzia energy compounds and caffeine.
Bottom line MO Xtra sio energy ni soda yenye ladha za berries.
Soma mstari hapo chini kwenye izo chupa mbili one is Carbonated Energy Drink nyingine ni Carbonated Soft Drink
@FKihamu@kigogo2014 Brother, Rashford, and Garnacho are way better or on the same . level with him, but who would compare a midfielder tena Defensive (Rice) with a winger. I've been following your post. we're both Simba and MUFC fans lakini umemkosea sana Rice.
Nimepata bahati ya kutembelewa ofisini kwangu na Mheshimiwa @jokateM Tumezungumza machache zaidi nashukuru Sana kwa ukarimu wako umenihamasisha kujituma zaidi.
Mungu akubariki Sana kwa kujali, Kuthamini na kutumia wakati wako kwajili yangu.
Karibu Tena Mhe hapa ni kwako ๐ ๐