🇹🇿 Mtu aliyekuwa analipwa TSh 5,000,000 mwezi Desemba 2025 na bado analipwa TSh 5,000,000 leo (1 Juni 2026) amepunguziwa mshahara.
Kimya kimya.
Desemba 2025: 1 USD = 2466 TSH
TSh 5,000,000 = ~$2,028
Leo, June 1 2026: 1 USD = 2610 TSH
TSh 5,000,000 = ~$1,915
Ili ubaki na thamani ile ile ya mshahara wa Desemba, leo ungehitaji kulipwa karibu TSh 5,294,320.
Maana yake umepoteza karibu:
❌ TSh 294,320 kila mwezi
❌ TSh 3.5 milioni kwa mwaka
Bila kupunguza mshahara wako.
Bila kubadilisha kazi.
Ndiyo maana watu wengi duniani kwenye nchi mbali mbali wanaanza kuhifadhi sehemu ya akiba yao kwenye USD na stablecoins. - Yaani USDC AU USDT.
Sio kwa sababu wanapenda usd.
Ni kwa sababu hawataki pesa zao zipungue thamani.
Mimi naona kuna fursa kusaidia watu kununua tbills / UTT au public market stocks Tanzania ili waweze kupunguza hasara.
There are places we pass through in life… and there are places that become part of who we are.
Manchester will forever be my home.
To the city, the club, and every supporter, my sincerest thank you. These past four years have been unforgettable, filled with moments my family and I will carry with us for the rest of our lives. There simply aren’t enough words to describe the happiness and warmth we’ve felt here.
Thank you for every cheer, every memory, and for making us feel at home from the very first day.
Forever a Red Devil ❤️
@SHEBYMDAU@EsirEid Kwenye maisha Kila Jambo ukifanya kwakuzidi ni baya sana.
Pombe,Wanawake,Betting na n.k,ikifika mahali unaona uwezi kufanya mahamuzi na akili yako imezidiwa abort kwenye ilo Jambo,ila kama unaona una uwezo waku control ilo Jambo endelea!
@EsirEid NISAIDIENI KAZI WAKUU
Nina experience ya kazi za microfinance(mikopo) miaka 4 mpk level ya branch manager, elimu ni degrii ya Hisabati na Takwimu, ni dereva pia nina leseni hai, hata kibarua cha 10k kwa siku sawa, mambo ni mbaya,niko Kahama town 0619923421 RETWEET IFIKE MBALI 🙏