Nchi ya Kazakhstan ni ngumu sana kupata uhuru,haki,uwazi,uwajibikaji,uwajibishwaji nk. Sababu hatuna democrasia iliyo thabiti KUANZIA wapinzani wa SERIKALI pamoja na Chama tawala pia . Mfano hivi sasa Kuna sekeseke la kukamatwa kwa kiongozi wa upinzani mh. Lisukhan
@mlinganya Wakati Perez amemchukua kinda martin ordegad zidane alisema hamuhitaji KWENYE timu yake , ila Perez alimwambia hata isipomchezesha we nenda nae tuu pre season
@Joewalshie_@Wakazi@MarekaMalili Ali KAMWE angeondoka yule Dem angejiona mshindi , angehis Ali amekimbia hoja zake ,, ila ile composure ya Ali , ukomavu ndo imemvunja nguvu yule Dem ajione ni taka taka ,, alafu Ali akaua zaid Kwa kumpa ushindi wa mezani
@INFLUENCERjr Nafanya kazi za m Filipino jamaa mshahara mkubwa kapewa gari na kampuni , analipiwa Kodi upanga , ila anakuja na msosi wake Kila siku ,, Mimi choka mbaya Kila siku Kwa mama ntilie asubuhi tuu naacha 2500๐๐
BETTING NI SCAM @EsirEid
Kuna mwanngu mmoja Mimi na yeye tumeshibana sana tena Sana . Mwaka 2022 Mimi na yeye mwa p1 tukaanza kushawishiana kubet tupate pesa chap chap , na tulikuwa na kazi frsh tuu kibachela bachela mshahara wa 650k ulikuwa unatosha sana . Basi tukaanza kuwekeza