@FarahOm91196252 Sijasoma kwenye ilani kama matibabu ya figo ni bure na yangekuwa yameahidiwa kuwa bure bwege aliumwa alikuwa kiongozi mkubwa wa ACT hii ingeshakuwa ajende kwa upande wa serikali imejitahidi kwenye hospitali zake vipimo vipo na hizi kubwa wataalamu na vifaa tiba vipo
@makiwa007@Sisimizi3 Nadhani katika mwanzo wa kujenga hoja na kujielezea na vile alivyoshambuliwa sio robbot yule kikawaida angepata hasira or something lakini kwenye mchakato mzima hana alilokosea na watu walipaswa kumdeffend aggainst hizi politics zisije weka woga kwa wengine kwenye kazi zao
@zoetjesheeftX Sasa yametokea au hayajatokea kila taasisi ina taratibu zake za kutoa taarifa na unapotoa taarifa unapaswa kuleta chanzo cha taarifa wewe ni nani tukuamini na unalitolea taarifa jeshi la polisi kama nani na unaliamrisha kutoa taarifa kwa mamlaka gani