@Wakazi And for your information too. I was creative asst. Uni talent na Gospel Star Search. So I know. And that was just for POV. Uwezi judge watu 10,000 uka expect nitakua sawa Kwa kila mtu. Na usisahau Salama ni mwanamke you and you know ladies. Myb mood swings za period π€ who knows.
Mtangazaji Mkongwe wa CloudsFM Gardner G. Habash amefariki dunia asubuhi ya leo katika Hospitali ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) alikokua amelazwa kwa siku kadhaa akipatiwa matibabu. #RIPCaptain ππΏππΏ