Such a very moment kukutana na dada asiyependa upuuuzi wa Mzee yule..
Yaan mimi na yeye hatuupendi upuuzi wa Mzee huyo!
Ifike pahala tuwe na mahaba na nchi KWANZA kuliko Rais ama Serikali. FULL STOP!
#SautiZaWananchi#DemokrasiaYetu#ChangeTanzania
Wao wanazania hii riport ni ya mchezo.
Wapihe hesabu kuwa Tz Inafuraha kama S.Kusini.
Tena wamempa nyingi.
Iweje Nchibya Amani kama Tz Ilingane Furaha na S.kusin na Somalia??
#SautiZaWananchi https://t.co/zJ9nYgvUvF
Mwanamke Hazingiziwi Mtoto Hata Siku Moja, Ila Mtoto Anaweza Kua Na Baba Hata Kumi Na Wote Wanatoa Matunzo Kwa Muda Tofauti, Kati Ya Hao Kumi Baba Mzazi Anakua Mmoja. Hapa Ndipo Wanawake Wanapotuwezaga Wanaume.
Mliokuwa mnalilia handshake ya Kenyatta na Raila, naombeni neno kutoka kwenu hapa ๐๐ฝ๐๐
#TheHandshake
Alafu namwona pale nyuma Sumaye pia ๐ #KubadiliGiaAngani
Mabadiliko ya kweli tunayayotaka yataletwa na sisi wananchi - wanasiasa wana malengo yao #ChangeTanzania
Spendi Kuulizwa Mfano Swali La "Uko Poa "? Kuna Muda Inanibidi Nitende Dhambi Ya Kujibu Kua Ndio Nipo Poa Wakati Sio! Sasa Ili Nisiendelee Kutenda Dhambi Hii Spendi Kuulizwa Swali Kama Hili Maana Dhambi Nyingine Naweza Epukana Nazo Mbele Ya Mungu.
Nchi kuna vituko sana. bunge zima la bajeti, wabunge wamejadili bajeti bila wananchi kupewa nafasi ya kuona kinachojadiliwa lakini sasa wakati wa kupiga kura za bajeti ndio wanaweka bunge live ili kura zionekane lakini wananchi hawajui kwanini kura za ndio na kwanini za hapana!!!
@TZMsemajiMkuu Kwa hyo huo mfuko ulipoanzishwa mlikuwa hamjui hauna usajili kamili???
Je na kwann huyo muanzishaji wa mfuko huo msimwajibishe??
Hapa naiona DECI iliyotuibiaga pesa Zetu.