๐ฐKuna waya umekatika pale Simba!! Jezi mpya za Simba zimefika au bado? Unamtambulisha mchezaji mpya alafu unamvalisha jezi ya msimu uliopita wakati ulishatangaza kampuni ambayo itakuwa inasambaza jezi zako.
Hili suala la wanawake kunuka makwapa limenifanya nisipende tena, maana kuna demu mmoja ile kumuingiza geto tu, nzi wote wamekufa mh!! Sio poa kumbe mademu wa dizine kama hii ni kama dawa ya nzi, mende kunguni, viroboto, na panya, wanasaidiaga sometimes๐๐