Kama ungejua tabia za watu kama unavyojua sasa pengine ungefanya maamuzi sahihi lakini pia usingeweza kujifunza kitu ambacho kingekupa uzoefu kuhusu watu
Maisha yana tabia ya kuwajaribu watu wenye ndoto kubwa.
Utakataliwa, utapuuzwa, utaanguka mara kadhaa, lakini usikubali hayo yawe mwisho wa safari yako. Kila maumivu unayopitia leo yanaandaa ushindi mkubwa kesho, endelea kusimamia ndoto zako.
Good Morning Familia
Man to Man:
Ukifikia umri wa miaka 30 unapaswa kuwa na kimoja kati ya vitu viwili,
Mwanamke sahihi wa kutulia nae au usiwe na mwanamke kabisa.
Hakuna chaguo la tatu.🥲
Naomba repost yako familia 🤝,
Kwa spare parts imara za pikipiki chimbo ni moja tu kwa SAM SPARE PARTS pale NGUSERO ARUSHA tunauza jumla na rejareja Karibuni sana wateja wetu mjipatie spare parts imara za pikipiki kwa bei nafuu,
Mawasiliano: 0754936565
Watu wazima wawili wamependana tena kwa hiari ajabu mmoja ndio anatakiwa awe anamtumia pesa mwenzake ili kuthibitisha upendo wake. Mapenzi ni utapeli 🤔 .
Dear wafalme,
Huyu manzi amelala na mtu ambaye hajawahi kumfanyia chochote.
Huyu manzi ameshamuacha Mwanaume aliyejitoa kwake kwa kila kitu.
Wanawake hawajali kuhusu hisia zako, ni wabinafsi kwa hisia zao.
Anko
"Unapo Muamini Mtu Kikamilifu Bila Shaka YOYOTE, Mwishoni Utapata Matokeo Ya aina Mbili, Utampata Mtu Wa Kudumu Nae Maisha Yako Yote...., Au Utapata Somo La Maisha Yako Yote.
Ukiwa na pesa halafu ukazungukwa na marafiki makapuku wala hutofurahia maisha. Watageuka chawa wako na mtashindwa kufanya “real interaction” wataogopa kumkera boss. Pesa inakua tamu zaidi ukizungukwa na marafiki wenye nazo hata namna mnaongea wote mnachangia mawazo.
Kuna mda nawaza kuhus wanawake sipati majibu
Mwanzon mwa mwaka juz nlipatwa na msiba wa Baba ya ngu. Tukaenda kumzika baada ya kumaliza mazishi nilibaki kama msimamizi mkubwa wa Mirathi, Na ilichukua mda kidogo kukabidhiwa kila kitu.
Mm nna Migahawa hapa Arusha na tokea nimeanza