Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akicheza ngoma na Wanafunzi Watanzania wanaosoma katika Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi- (RUDN University), Moscow nchini Urusi, tarehe 04 Juni, 2026.
Siku ya kwanza ya ziara yangu ya kitaifa katika Shirikisho la Urusi ambapo pamoja na mambo mengine, nimepata heshima ya kukutana na kufanya mazungumzo na Mheshimiwa Rais Vladimir Putin jijini Moscow.
Kwa pamoja tumepongeza ukuaji wa biashara kati ya nchi zetu uliofikia asilimia 72 katika kipindi cha mwaka 2020 hadi 2025. Hata hivyo, kwa kuzingatia historia kubwa ya ushirikiano na uhusiano wa kirafiki kati ya mataifa yetu, tumekubaliana kuongeza juhudi za kukuza biashara na uwekezaji ili kuleta manufaa makubwa zaidi ya kiuchumi na ustawi wa wananchi wa nchi zetu.
Aidha, kwa lengo la kufungua fursa zaidi kwa wananchi na kuharakisha maendeleo ya kijamii na kiuchumi, tumejadili namna ya kuimarisha ushirikiano katika sekta mbalimbali za kimkakati, zikiwemo sayansi na teknolojia, elimu, nishati, madini, kilimo, miundombinu na utalii.
ZIARA YA RAIS SAMIA NCHI URUSI
(SIKU YA PILI) ๐
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Udaktari wa Heshima (Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi- (RUDN University) kutoka kwa Mkuu wa Chuo hicho Profesa Oleg Yastrebov kwenye hafla iliyofanyika Chuoni hapo Moscow nchini Urusi, tarehe 04 Juni, 2026.
Rais Mhe. Dkt. Samia ametunukiwa Shahada hiyo ya Udaktari wa Heshima kutokana na mchango wake katika Mageuzi ya sekta ya Elimu, juhudi zake za kuimarisha Diplomasia ya Tanzania, pamoja na mchango wake katika kuimarisha hadhi ya Tanzania Kimataifa ikiwemo kupitia sekta ya Utalii,
#KigogoMediaUpdates
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Waziri Rajab Salum kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Viwanda na Biashara. Balozi Salum anachukua nafasi ya Dkt. Hashil Twaib Abdallah ambaye atapangiwa majukumu mengine.
#KitengeUpdates
Ninawatakia kheri ya Sikukuu ya Krismasi Wakristo na Watanzania wote. Mnaposafiri na kujumuika na ndugu, jamaa na marafiki katika maeneo mbalimbali ya nchi yetu, tusherehekee kwa furaha na upendo.
Kuzaliwa kwa Yesu Kristo kutukumbushe upendo kwa Mwenyezi Mungu, upendo kwa kila mmoja wetu, wajibu wa kujitoa kuwasaidia wenye uhitaji, uvumilivu na unyenyekevu. Tuendelee kukumbuka wajibu wetu wa kutunza Taifa letu ili lidumu katika amani, utulivu, haki, ukweli na ustawi wa kila mmoja wetu sasa na vizazi vijavyo.
Mwenyezi Mungu awabariki nyote.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekutana na kuzungumza na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Mhe. Andrew Lentz, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma, tarehe 08 Desemba, 2025.
Pamoja na masuala mengine, walijadiliana kuhusu ushirikiano wa kiuchumi, kisiasa, kijamii pamoja na miradi mbalimbali ya maendeleo baina ya Tanzania na Marekani.
Mtu akisema sisi ndiyo tunawahitaji zaidi huwa na msikiliza ila napuuza. Wao ndiyo wanatuhitaji zaidi ni vile wengi hatuoni kwasababu ya utamu wa pipi zao tunazopewa. Lazima wapishane koridoni.
@Hamis_Mbaade Sema mimi Alikiba ananichanganya sana na mada kwenye wimbo mmoja anaanzishaga story hata tatu tofauti, sikiliza DECEMBER sijamuelew kwakweli au S2keezy alimkurupusha?
@SimbaSCTanzania Waambieni ukweli wachezaji, HAWAJITUMI KABISAA @MAURICE na @Mpanzu wametucost sana, @pantevu kachelewa sana kumleta @Kibu watu wanarudi rudi nyuma sana wapuuzi hao wakati Kipa wetu hana uwezo kabisaa
Wachezaji wa @SimbaSCTanzania hawajui kama Kipa hana uwezo mzuri wa Footwork? Wanachezea nyuma na kukaribisha mashambulizi zaidi kwenye lango lao. Hamna kitu tutapata kwenye michuano hii upuuzi mtupu hakuna kujituma kabisaa.