Ninapomaliza kusoma kijitabu cha Prof. Shivji, naweza kiri Profesa amejitahidi kwa maandiko na misimamo kubaki ktk mstari wa fikra na kuzitetea (haijalishi zinapendwa au lah).
Tafakuri toka Nyerere mpaka Samia.
Kijitabu hiki ni muhimu kusomwa na kila mtu tena hasa wananchi.
A very well written piece from Prof. Issa Shivji, thank you for this Profesa. You have always maintain your line of thinking and stands.
This is a great piece that offers a good political reflections and analysis from Nyerere era to Samia.
A must read!
MONTHLY DEDICATIONS IN THE CATHOLIC CHURCH
Dear Catholics, do you know that each month in the liturgical year is associated with particular devotions, saints, or aspects of the mystery of our faith?
1. January is dedicated to the Holy Name of Jesus.
2. February is dedicated to the Holy Family.
3. March is dedicated to St. Joseph.
4. April is dedicated to the Holy Eucharist.
5. May is dedicated to the Blessed Virgin Mary.
6. June is dedicated to the Sacred Heart of Jesus.
7. July is dedicated to the Precious Blood of Jesus.
8. August is dedicated to the Immaculate Heart of Mary.
9. September is dedicated to the Seven Sorrows of Mary.
10. October is dedicated to the Holy Rosary.
11. November is dedicated to the Holy Souls in Purgatory.
12. December is dedicated to the Immaculate Conception of Mary.
My big brother Dr Mzamo Masito has published an important book. Boys are being left behind. We need to do something about it. The title of this important work is “This country hates our boys. Boys, you are on your own.” Available Exclusive Books.
PUMZIKA KWA AMANI MZEE EDWIN MTEI. Sote tumeondokewa na mmojawapo wa
waasisi wa taifa hili kitaalamu kama Gavana wa kwanza wa Benki Kuu, Waziri wa Fedha na kiongozi wa kisiasa jasiri aliyethubutu kutofautiana na maelekezo ya Mwalimu Nyerere kisera. Ushauri wako ungesikilizwa labda matatizo ya kiuchumi yaliyoikumba Tanzania miaka ya 80 yangeepukika au kuwa nafuu zaidi. Uliachia ngazi kuliko kutekeleza sera usiyoiamini huku ukijua madhara yake. Pamoja na hayo hukukata tamaa uliendelea kulitumikia taifa katika nyadhifa nyingine nje ya nchi. Nafasi ya mageuzi ya kidemokrasia ilipokuja kupatikana miaka ya 90 ukaanzisha chama cha CHADEMA ambacho baada ya kupitia mitihani mikubwa kilifanikiwa kuimarika na kuongoza upinzani hadi Bungeni. Kukuenzi ni sahihi kusimulia machungu uliyoyapitia tunayoyajua. Hayati David Marealle alinisimulia jinsi ulivyoshangazwa na wasaliti waliokuwa wamepandikizwa kwenye chama chako ili wakivuruge na kuhujumu kazi zako kwa kukuita mwizi huku wewe ndiwe uliweka fedha zako mwenyewe za kukianzisha na kukiendesha. Alinieleza kwamba mshituko na huzuni uliopata vilikusababishia stress hadi kuzimia na kulazwa Nairobi hospital ukiwa hujitambui kwenye comma lakini baada ya miezi mitatu Mungu alijalia na ukazinduka na kupona na kuendelea na mapambano. Historia itakutambua kama nguzo muhimu ya upinzani na demokrasia ya vyama vingi nchini Tanzania.
Mchango wako katika kujenga siasa za ushindani, uwajibikaji na utawala wa sheria na haki utaendelea kuishi katika historia ya taifa letu. Uendelee kuwa nuru na mfano wa kuigwa na vijana wanaotaka uongozi.
Ninatoa pole kwa familia, ndugu, marafiki na wote walioguswa na msiba huu.
Jakaya anaongoza nchi kinyume na Katiba
Amejificha kwenye kichaka cha kuzindua majengo na ziara
hizi JWTZ bado kuna wana jeshi huko? Kwamba Kikwete yuko juu ya Katiba?
Huu upuuzi unafanyika mchana kweupe na mtawala wa nchi anaonekana wakati aliyejipachika madaraka akiwa amefugwa kamba
Mlifanya huu ujinga wakati wa Magufuli lazima uzuri CDF Mabeyo alikataa mapema haya maujinga , japo kuna fedha zilishaamishwa kutoka kwenye mabank na wahuni, hakuna hatua zilichukuliwa kwa walioamisha pesa
Leo mmemfunga kamba huyu muuaji mnazunguka nchi nzima kutoonyesha mambo yako sawa
Haya mambo yadhibitiwe sasa
Kuna maendeleo mazuri ya kuwa na waelimishaji wa masuala ya fedha. Ni hatua njema sana. Natamani sasa wasiishie kuzungumza juu ya uwekezaji kama ununuzi wa hisa, hati fungani nk - waende hatua nyingine ya namna gani/mbinu watu wazalishe mali na kupata fedha (kipato) zenyewe sasa.
Let nothing disturb you,
Let nothing frighten you,
All things are passing away:
God never changes.
Patience obtains all things,
Whoever has God lacks nothing;
God alone suffices.
St. Teresa of Avila
The Rosary is a simple prayer with eternal power.
Each decade is a link in a chain that binds us to God’s mercy. On this Feast of Our Lady of the Rosary, may our hearts never grow tired of saying, “Hail Mary.”
Unamdhamini kijana mwenzako ili apate mkopo bila riba; yeye anatokomea. Hata kuwasiliana na wahusika kuwa amekwama hataki. Vijana tusipolichukulia suala la uaminifu kwa uzito wake; tutaendelea kulaumu sana. Aminika; uaminiwe—utafika mbali sana.
Saint Michael, the Archangel, defend us in battle. Be our protection against the wickedness and snares of the devil. May God rebuke him, we humbly pray; and do thou, O Prince of the heavenly host, by the power of God cast into hell Satan and all the evil spirits who prowl about the world seeking the ruin of souls. Amen.