Thank you @MbuyiseniNdlozi ๐๐ฝ
@SADC_News must stand firm and reject mass murderers like Samia Suluhu!
There was no election it was an electoral coup!
#SamiaMustGo
Kauli mbiu yangu, Waheshimiwa Majaji, (my motto): โUpinzani dhidi ya ukandamizaji ni utiifu kwa Munguโ (Resistance to Oppression is obedience to God).
๐ช๐ช๐ช๐ช๐ช๐ช๐ช
โMimi nilienda kuzika mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa kitongoji -Manyoni. Kama unaweza kuua mgombea wa kitongoji, kwenye uchaguzi mkuu utafanyaje?โ
Tundu Lissu.
Makamu Mwenyekiti Chadema Tanganyika Mh. John Heche amesema leo ni siku nyeusi na mbaya kwa wapigania haki, baada ya mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mh. Tundu Lissu kupatikana na kesi ya uhaini ya kujibu.
Amewataka Viongozi, Wanachama na wapenzi wa CHADEMA kutovunjika moyo na maamuzi hayo.
#TunduLissuSioMhaini #FreeTunduLissu
Video Credit: BBC
Sikiliza background voice, mtu anaongea kuwa kuna hoja ya msingi ya mawakili ya serikali na mawakili wa Lissu wanasema kuna mistake ya kisheria imefanyika ๐!
Hii video nimetoa kwa Twaha msije sema nimeitengeneza na yeye lilivyo jinga hajahakiki anachopost.
Mihemko ya nje ndio inaiponza hii kesi, mnajifanya watu wa chadema mnajua na makelele mengi kumbe deep huko sheria amzijue mko meyoo haya tupo hapa!!!