Kama huna mishe ya kufanya ukipata sehemu wanakulipa hata laki 3 na nusu as long as unaishi chumba cha kipato cha kati PIGA kazi wakati bado unasaka palipo na maslahi bora.
Vijana akili zifunguke sometimes.
Hii obsession uliyo nayo ni zaid ya Lil Nas kwa Odell beckam
Pole nimekuachia trauma nilikutapel hisia (sikukugonga kama ulivyotaka trust me siwez UFIRAJI ndo zamb ngumu pekee ambayo bible imeandika bila tafsida) na hela pia nikala
Ni mda umepita ila nashangaa kwa nn hujaheal