@Mkadimbajnr@George_Ambangil Kutoitwa National team ndo uwezo hamna? Kwhy leo watu wakamsajili Fabinho kisa kaitwa National team? Player analysis huwa mnaifanyj wanetu?
@Swalamzee@George_Ambangil@Mkadimbajnr Sio hatuna, sema sina usipende kutumia maoni yako yawe ya wengine, mm nina iman na Ederson ila sikupangii na wew uwe na iman nae, ila muda utaongea
@George_Ambangil@daudi10emmanuel United ingekuwa na viongozi bora wa mpira basi hawa malegend wangefungiwa vioo, moja ya watu hawataki united ifanikiwe ili wazid kutukuzwa,
@N37231Grace@abissay_stephen Manula ndo alistahil kuwa Man of the match, kipa kasev penalt ndan ya dakk 118, kasave na kuiweka team mchezon muda wote, ulitaka kipa afanyaj kwa team iliopo pungufu na kwa performance ile ili awe man of the match?