@samatimemagari Boda kazingua sababu hairuhusiwi kufanya ovateki kushoto, kingine hapo kisheria ilibidi boda awe nyuma ya hizo gari afuate ueleko sasa kutokana kafanya maamuzi ya ovyo ndo kasababisha ajali
Repost for others na Kama hujatufollow, gonga follow sasa ili usipitwe na madini next time..
.
Na kuwa karibu na huduma zetu save this number 0714547598 [Samatime magari]..
.
Share Jina lako na unakopatikana we will save YOU pia na utakua na access na huduma za ushauri bure.
.
Asante