🚨 Muanzilishi na CEO wa OpenAI ya ChatGPT AMEFUKUZWA!
Sababu kuu ni mvutano wake na bodi ya wakurugenzi wa OpenAI.
Inawezekana bodi ya wakurugenzi ina mitazamo na mipango ambayo Sam amekuwa akiipinga kwa kuona sio salama katika Akili Bandia kwa sababu inalenga maslahi ya maboss na sio faida kwa watumiaji wa Akili Bandia za OpenAI ikiwemo ChatGPT.
Nothing Chats: Daraja Lako la Kuingia kwenye iMessage!
Fahamu kuhusu application ya Nothing chats! 🧵👇
Watumiaji wa Android, sasa kupitia app ya Nothing Chats itakayokuruhusu kuunganishwa kwa urahisi kwenye iMessage kwenye simu za iPhone,. Yes it's happening!
Shuka nami 🧵👇
Kutana na Honor X50i+ ni simu iliyozinduliwa 10/11/2023.
Muonekano wake umezua gumzo sana na kushtua watu wengi.
Je unafikir nini chanzo cha watu kuiongelea sana simu hii?😅
Kila hatua Chache tunazopiga ni kwa sababu yenu.. Naendelea sana kuwashukuruni nyote kwa hizi hatua chache tunazosogea pamoja
Ni kidogo lakini kina thamani kubwa sana
Asanteni🙏
1900hrs 300 Followers
Miaka 16 iliyopita apple ilitambulisha @AppleTV
Na watu wengi walifikiria apple wametambulisha Television lakin hii ni online Platform ya kuangalia movie, series na Documentary kama ilivyokuwa Netflix.!
Mara ya kwanza kusikia jina la Apple Tv kichwani ulifikiria nini haswa?📺🤔
TAHADHARI KWA WATUMIAJI WA AI 🚨
Google kupitia AI chat bot yao inayoitwa BARD Experiment imetoa angalizo kwa watumiaji wake kutoingiza taarifa sensitive kuhusu mtumiaji kwa kuwa imeanza kutumia Binadamu kuongeza ufanisi wa majibu yanayotolewa na Ai hiyo ya Bard
Taarifa zaidi👇
Wangapi wamewahi kukiona hiki kifaa? "windsock"
Shule ya msingi wengi tulifundishwa kuwa kifaa hiki kinapima uelekeo wa upepo. Lakin hizo rangi nyeupe na nyekundu huashiria makadirio ya kiasi cha spidi ya upepo unavyovyuma katika uelekeo husika.!
Now you know.! 😅
📸 Mossimo
built-in Music apps mara nyingi zimekuwa zikisahaulika kutokana na ujio wa external music streaming apps kama #Spotify na #Dezzer.
It's Throwback Thursday achana na spotify kwa leo, ikumbuke na tuoneshe ile music app yako iliyokuja pamoja na simu
Mine:👇
Mwaka 2016 - October; Apple ilitambulisha sehemu mpya ya Touch Bar katika upande wa juu ya keyboard.
Sehemu hii ni screen ambayo inaweza kuwa na buttons na options mbalimbali za keyboard ambazo unaweza kutumia kama shortcut.
Mwaka 2021, Apple ilianza kuacha kuweka Touch Bar katika MacBook Pro za inch 14 na inch 16.
Leo Apple imetoa MacBook mpya lakini for the first time model ndogo ya M3 haina tena sehemu hii ya Touch Bar kama MacBook za M2, na M1.
Hatimaye, Apple imeacha kuweka sehemu hii katika MacBook na sababu kubwa ni sehemu ambayo ina gharama kubwa kuitengeneza lakini haina matumizi mengi na watu wengi hawaitumii sana.
Fahamu chimbuko la neno "Emoji" pamoja na historia yake.. Uzi mfupi🧵👇
1/6 🤔 Umewahi kutumia emoji na kujiuliza jina lake lilitoka wapi? Karibu kwenye sehemu nyingine ya #WhyTheName! Leo tunaangalia maana ya neno "Emoji" na asili yake na namna lilivyokua maarufu kidijitali🌍💬
Tofauti kati ya S-PEN na APPLE PENCIL
Wiki hii apple imetangaza toleo jipya la bidhaa yake mpya ya apple pencil ikiwa na features mbalimbali na kutikisa vichwa vingi vya habari za kiteknolojia, Je bidhaa hii ni bora kuliko samsung Pen? Zijue tofaut na ubora wa bidhaa hizi🧵👇.
X imeanza kuweka gharama ya dola 1$ kwa Mwaka.
Kwa watumiaji ambao wanatumia mtandao huu hawatalipia lakini kwa watumiaji wapya watalazimika kulipia ili kupata uwezo wa ku-post ndani ya mtandao wa X.
X imesema utaratibu wa kulipia ni maalum kwa kudhibiti bots mpya ndani ya mtandao huu.
Utaratibu huu umeanza kama sehemu ya majaribio kwa watumiaji wa New Zealand na Philippines.
@Swahili_Tek Naona kila kampuni inajitengenezea mazingira ya kuwa na ecosystem yake unique kwa bidhaa zake zote.. Let's see if HyperOS will bring bigger changes
Lei Jun - Mkurugenzi Mtendaji wa Xiaomi, ametangaza mfumo mpya wa HyperOS.
Huu ni mfumo mpya wa uendeshaji wa simu na utaanza rasmi katika simu za Xiaomi 14. Itakuwa ni mfumo mpya ambao utaondoa mfumo wa MIUI. Kwa kawaida simu za Xiaomi zinatumia mfumo wa MIUI ambao unakuwa na mfumo wa Android. mfumo wa MIUI unakuwa na maboresho na feature za kipekee ambazo zinawekwa na Xiaomi.
🔘 Xiaomi inaacha kutumia mfumo wa MIUI ambao umekuwa ukitumika kwa takribani miaka 13 mpaka sasa; na kuweka mfumo wa HyperOS. hapo mwanzo wengi walihisi itaitwa MiOS kwa sababu Xiaomi inamiliki hakimiliki ya hilo jina.
🔘 Mfumo wa HyperOS utakuwa unatumika katika vifaa vyote vya Xiaomi na utakuwa unapatikana katika magari ya umeme ambayo yatatengenezwa na Xiaomi.
🔘 HyperOS utakuwa ni mfumo wa magari ya umeme, simu, kompyuta, smart home na vifaa mbalimbali.
🔘 Mfumo wa MIUI una watumiaji takribani Bilioni 1 duniani. Ni brand ambayo inafuata baada ya Apple na Samsung kwa kuwa na watumiaji wengi.
🔘 HyperOS itaanza kutoka mwaka huu kwa watumiaji wa China na itatoka mwaka 2024 kwa watumiaji wote duniani.
HyperOS bado ni Mradi wa Android Open Source lakini itaunganishwa na Vela, jukwaa la Xiaomi la IoT.
Revisiting one of my thread kuhusu chimbuko la neno BLUETOOTH🧵👇
1/7 🤔 Je umewahi kufikiria ni kwa nini teknolojia yako ya wireless inaitwa "Bluetooth"? Karibu kwenye mfululizo mwingine wa #WhyTheName! Leo, tunafumbua siri iliyoko nyuma ya jina la Bluetooth. 🎧 #Bluetooth
AI expert, founder and CEO of Neurotech Africa @j_kalebu to speak at the EMAI Conference.
Learn how AI can transform customer interactions, boost business efficiency, and stay competitive in the digital age.
Register at https://t.co/AtudsRoWS1
#AlConference#AI#NeurotechAfrica