Samsung galaxy S series, Samsung A series, Samsung M series, Samsung J series,Samsung Z series..
Ushawahi kujiuliza herufi hizo zina maana gani? na humaansha nini kwenye uwezo na sifa ya simu yako? ๐ค
Fahamu zaidi heruf hizi zinamaanisha nin haswa kwenye performance ya simu๐งต๐
๐ ๐๐ฎ๐ป๐ฑ๐ฎ๐ผ ๐๐ฎ ๐๐ต๐ฟ๐ฒ๐ฎ๐ฑ ๐๐ฎ๐๐ฎ ๐๐ป๐ฎ๐๐ฒ๐๐ฎ ๐ธ๐๐ณ๐๐๐ฎ ๐ฎ๐ธ๐ฎ๐๐ป๐๐ถ ๐๐ฎ๐ธ๐ผ
Kampuni ya Meta kupitia mtandao wa thread wameleta feature ya watu kuwa na uwezo wa kufuta akaunti yake au kuificha kwa urahisi sana bila kufuta akaunti ya Instagram.
Uzi uko chini ๐
Nothing Chats: Daraja Lako la Kuingia kwenye iMessage!
Fahamu kuhusu application ya Nothing chats! ๐งต๐
Watumiaji wa Android, sasa kupitia app ya Nothing Chats itakayokuruhusu kuunganishwa kwa urahisi kwenye iMessage kwenye simu za iPhone,. Yes it's happening!
Shuka nami ๐งต๐
Kampuni ya Qualcomm imetambulisha chip mpya ya Snapdragon 7 Gen 3.
๐ ๐ฎ๐บ๐ฏ๐ผ ๐๐ฎ ๐บ๐๐ต๐ถ๐บ๐ ๐ธ๐๐ณ๐ฎ๐ต๐ฎ๐บ๐:
๐ Ni chip mpya ya simu za Android ambazo zitauzwa kwa bei ya wastani (midrange).
๐ CPU yake imeongezeka uwezo kwa asilimia 15%
๐ GPU yake imeongezeka uwezo kwa asilimia 50% hivyo itaboresha games katika simu za Android za bei ya wastani.
๐ Imetengenezwa na TSMC katika kiwango cha teknolojia ya 4nm.
๐ Inakubali mawasiliano wa WiFi 6E na 5G
๐ Inawezesha kamera kurekodi 4K HDR
๐ Inakubali display za QHD+ kwa refresh rate ya 120Hz
๐ Inatumia kiasi kidogo cha umeme hivyo inatunza charge kwa asilimia 20%
Itasaidia simu za bei ya chini za Android zitakuwa na uwezo mkubwa wa kucheza games.
Miaka 20 iliyopita zuck aliweza kukutana na mke wake anaitwa Priscilla Chan kwenye chuo Cha Harvard university ilikua party Moja hivi ya wanafunzi walikutana kwenye maeneo ya chooni ๐ sio ndani.
Nothing Chats: Daraja Lako la Kuingia kwenye iMessage!
Fahamu kuhusu application ya Nothing chats! ๐งต๐
Watumiaji wa Android, sasa kupitia app ya Nothing Chats itakayokuruhusu kuunganishwa kwa urahisi kwenye iMessage kwenye simu za iPhone,. Yes it's happening!
Shuka nami ๐งต๐
@Rydx_017@Swahili_Tek @__abdulazack @babalao__@Bongotech255@kapeto98@NjiwaFLow@HabariTech@nikombotech @mswahili___ @view_lets Yes ni kweli sababu zinazofanya apple wasikubali RCS ni sababu za kibiashara na kukuza ecosystem yake. Hata nothing ambacho amefanya sasa kuja ni kujarbu kuleta ushindani wa kujipenyeza kwenye ecosystem ya apple product haswa kwa watu wa US ili kuwafanya wanunue nothing phone
๐๐ธ๐ถ๐น๐ถ ๐ฏ๐ฎ๐ป๐ฑ๐ถ๐ฎ ๐ธ๐๐ธ๐๐ฝ๐ฎ ๐๐๐ฎ๐ฏ๐ถ๐ฟ๐ถ ๐๐ฎ ๐๐ฎ ๐ต๐ฒ๐๐ฎ ๐ฑ๐๐ป๐ถ๐ฎ๐ป๐ถ
Sasa watu wataweza kupokea utabiri wa Hali ya hewa kupitia akili bandia imekuja kuchukua taarifa ya masuala ya anga kwa kukupa taarifa kamili kuhusu Hali ya hewa
Imekuwaje ๐ค!!
Uzi ๐งต๐
Je nani ataweza kuipata application Hii ya Nothing chat??
Nothing Chats kwa sasa ni app ya kipekee na itapatikana kwa watumiaji wa Nothing Phone 2 tu!. Hata hivyo, kutokana na uwezo wake wa kuunganisha mawasiliano kati ya ios na Android tunatarajia upanuzi wake kwa vifaa vngine
SIKU KAMA YA LEO!
๐ฆ 1777, Articles of Confederation,โkatiba ya kwanza ya Marekani, inathibitishwa na Baraza la Mabunge ya Mabara.
๐ฆ 1811, Josรฉ Miguel Carrera alichukua udhibiti wa serikali ya Chile kwa njia ya mapinduzi ya kijeshi, akawa Rais wa kwanza wa nchi hiyo.
SIKU KAMA YA LEO!
๐ฆ Ya 1666, Mwandishi wa Kiingereza Samuel Pepys aliandika ripoti ya kwanza ya kubadilishana damu-(first report of a blood transfusion), ambayo ilikuwa ni baina ya mbwa wawili.
๐ฆ Ya 1834, William Thomson, aliingia Chuo Kikuu cha Glasgow akiwa na umri wa miaka 10