@ASRomaSwahili Habari, naitwa Michael Minja. Naishi Milan Italy, ila ni mtanzania. Napenda michezo na huwa nafuatilia vipindi vya michezo. Naomba kufanya kazi na ninyi asante.
Ciao mi chiamo Michael Minja Vivo a Milano sono Tanzanese mi piace lavoro con voi.