Amini nakuambia ulipo ni sahihi,kama tu unaishi wewe halisi (na uhalisia wako) , na njia bora ni ile iliyopo kwenye focus yako, haijalishi changamoto. "Mickdadi Daddi"
Tofauti iliyopo kati ya uchawa na uchawi ni ndogo sana.
Uchawa ni kumpaka mtu sifa ili unufaike na furaha unayompa📌
Uchawi ni kumpaka mtu mikosi na balaa ili unufaike na matatizo unayompa📌