Please help me trend #DurbRadio by Following them @DurbRadio and taking at least 5 seconds listening to it. Retweet and like we shall follow you back. Feel blessed ๐.
Tupate kila Alhamsi mimi Nahodha Ahmed Khalif kijana wa mashav mashav pandikizi la furaha kimajazi Dimpoz pamoja na Mnyama GL, tukupe burudani kwenye #DurbRadio kutoka saa 12:30PM hadi 4:00PM za #AfrikaMashariki
Tupatane siku ya Jumamosi kwenye #MidundozAfrika hapa #TandaoTv niwaporomoshe midundo za kijiweni pamoja na kuwaelezea utamaduni wa Maragoli. Saa 4 asubuhi hadi saa 6 Alasiri. #HekaHekaZaKhalif
Tegea Midundoz Afrika nami Kaka #Khalif kila #Jumamosi kutoka saa 4-6 asubuhi upate burudani kamili pamoja na habari za wasanii pindi zinapochipuka.
#HekaHekaZaKhalif
Kuna mwanamziki mmoja ambaye wanawe wamegadhabishwa kwa tetesi za kuwa mjamizto ikiwa na maana kila mmoja ana babake tofauti. Vile vile Diamond Platinumz ameifichua uhusiano wake na radio presenter. Tegea Midundoz Afrika kila jumamosi kutoka saa 4-6 asubuhi nikupe habari kamili.
Mwanzo wa Ngoma ni Lele, Ungana nasi hapa Tandao Tv siku ya Jumamamosi mida ya saa 4 hadi saa 6 asubuhi kwenye Midundoz Afrika upate burudani kamili na vile vile habari za Wasanii zinapochipuka.
#TandaoTV#HapaNdipo#MIdundozAfrika
Jiunge nami kaka Khalif kwenye show nambari moja #MidundozAfrika inayotamba Africa, Nikiwakilisha katika #TandaoTv siku ya Jumamosi toka saa 4-6 asubuhi. #HapaNdipo