@juniorjr64149@lifeofmshaba Acha ujinga kinachopiganiwa ni tanzania ya haki na ya wengi kunufaika sio chama au watu wachache think big , nchi ina wananchi wake naa lazima tuwe precise kuwawajibisha viongozi wanaoponda mali ya umma
@MarioNawfal Relax mario you have never been to war , we are eliminating a threat if we stop now they will rebuild and evil will persist so relax and sit on your interview box and watch the show goes on
@VungaEl74 Benjamin Netanyahu kiboko ya magaidi ... gaidi hata uwe wapi utasakwa huu utaratibu ni mzuri wewe sema death to israel sema maneno unavyotaka yaani siku ni wanakuchota tuu waulize viongozi wa hamas na hezbollah walipukutishwa kama umeme
@twiiter_B@Keem52014998@Mkanaani_ Ukiachana na matamshi tuu kwa kusema i and the father are one kuna matendo pia ile miujiza ilijidhihirisha yeye ni mungu ndani ya uanadamu, kukufua watu, kuaiambia bahari itulie ikatulia, kutiba vilema na wasioona, sura yake kubadilika akiwa mlimani na kuongea na moses na eliya
@Keem52014998@Mkanaani_ Ukiniona mimi umemuona baba pia, mimi ndo njia ya kweli na uzima, before abaraham wa born i am hayo ni baadhi ya matamshi aliyosema yesu yeye mwenyewe
@EsirEid Kwenye udhalimu nakuunga mkono ila kwa hii ya iran hapana mzee khamenei kaua sana eatu destabilization ya middle east ni sababu ya hao wairan serikali yao ya kiislamu this war was meant to be ... israel will fight and win this war because god of israel yupo nao
@EsirEid Waisrael wanashinda hii vita wairan hasa serikali yao wanataka watengeneze nuclear bombs wawape hamas na hezbollah waishambulie israel, waisrael hawako stupid