@TheChanzo Ni jukumu la viongozi wa kisiasa, wanaharakati, viongozi wa dini na wananchi wote kuhimiza maelewano na kuweka mbele maslahi ya taifa. Tanzania yenye mshikamano na maridhiano ndiyo msingi wa maendeleo endelevu.
@joeselasini Ni jukumu la viongozi wa kisiasa, wanaharakati, viongozi wa dini na wananchi wote kuhimiza maelewano na kuweka mbele maslahi ya taifa. Tanzania yenye mshikamano na maridhiano ndiyo msingi wa maendeleo endelevu.
@Sativa255 Joseph Warioba ni kiongozi mwenye heshima kubwa nchini,hivyo kauli na ushauri wake vina uzito mkubwa kwa jamii.Katika kipindi ambacho taifa linahitaji mshikamano ni muhimu viongozi wa aina hiyo kuendelea kuhamasisha amani,mazungumzo na siasa za hoja zinazolijenga taifa.
@millardayo Tume inayoongozwa na Chande Othman ilipokea ushahidi mkubwa kutoka kwa vyombo vya dola,hususan jeshi la polisi,na pia ushahidi mkubwa kutoka kwa wananchi na mashahidi wengine waliotoa taarifa zao hilo ni jambo la msingi sana katika kuhakikisha uchunguzi unakuwa wa kina, wa huru.
@millardayo@duahamud serikali ina jukumu la kusimamia sheria na haki hii inahusisha kuhakikisha kuwa sheria zinatungwa,zinaheshimiwa,na haki inatendeka kwa wote bila upendeleo Mfumo wa mahakama unapaswa kufanya kazi kwa uadilifu ili wananchi wawe na imani na nchi yao haki ni msingi wa amani na utuliv
@mwlkeberenge@mjahidmjahid80 Wapo kwa ajili ya kulinda usalama wa raia na mali zao niwapongeze sana polisi kwanza kuzuia vurugu zote zilizo tokea kipindi kile kwani yale hayakuwa mandamano bali ilikuwa vurugu za kutaka kuturudisha nyuma sisi wajasiriamali.
@mjahidmjahid80 Kuhamasisha vurugu ni kuvunja misingi ya utu na mshikamano jamii inayoruhusu uchochezi wa aina hii huingia kwenye mzunguko wa chuki na visasi, ambapo hakuna anayeshinda amani ikivunjika, kila mtu hupoteza.
@MO29TV@mjahidmjahid80 Kuchochea au kuhamasisha watu kufanya uharibifu wa mali ya umma ni kosa. Hata kama mtu hajashiriki moja kwa moja kuchoma, kuhamasisha tu kunatosha kuingia kwenye makosa ya jinai kama uchochezi na uharibifu. Hivyo, si suala la maoni tu ni jambo linaloweza kuleta madhara makubwa.
@JamiiForums Tume inafanya kazi kwa weledi na uzuri wake piah hipo huru inafanya kazi kwa kwa kupokea maoni mbali mbali na kwa mujibu wa sheria. Tuiamini na tuipe nafasi ikamilishe majukumu yake; ukweli na haki vitapatikana.”
@Royal_Tv_Tz hoja ya msingi sana tuiache Tume ifanye kazi kwa uhuru bila shinikizo la kisiasa ili ukweli ujulikane. Uchunguzi sio uadui bali ni njia ya kujenga uwajibikaji na haki. Tukitaka taifa lenye mifumo imara, lazima tuheshimu taratibu na kuruhusu vyombo vifanye kazi yake kikamilifu.
@swahilitimes Serikali kuwekeza kwenye startups za vijana ni hatua sahihi sana. Hii sio tu inafungua fursa za ajira bali inajenga kizazi cha wabunifu na wajasiriamali. Dunia ya leo inathamini ubunifu na teknolojia, hivyo Tanzania iko kwenye mwelekeo sahihi. Kikubwa sasa ni utekelezaji.
@swahilitimes Ni vyema kila kauli iwe na lengo la kuelimisha na kuunganisha wananchi Watanzania wanahitaji viongozi wanaoleta matumaini na mwelekeo chanya, si maneno yanayoweza kupotosha au kuibua hisia hasi
@ChademaTZ2@TunduALissu Hilo ni jukumu la jeshi la polisi tanzania kulinda usalama wa raia na mali zao kwanini yeye Tundu lissu ndo akamatwe kwani yeye ndo wakwanza kufanya mkutano hapo mbinga ukiona hvy yupo na chembe za uhalifu na hilo polisi ni jukumu lao kuzuia uhalifu kabla ya kutendeka .
@MachumuKadutu@ChademaTZ2@HecheJohn Kiongozi mzuri si yule mwenye cheo kikubwa pekee, bali ni yule anayetoa mchango chanya kwa maendeleo ya serikali na taifa kwa ujumla lkn Tundu lissu anatumia uwenyekiti wa chama kuvuruga amani ya taifa letu kiukweli serikali uyu siyo mtu wa kumvumilia kabisa aendelee kubaki jela.
@Royal_Tv_Tz Lengo kubwa la Mh Rais Dkt samia suluhu hassan ni kumpa fursa kila kuweza kutoa maoni yake kwani Tume hipo kupokea maoni lengo kuu ni kutaka kujua chanzo cha vurugu ni nn kwani maono ya kiongozi wetu ni mazuri kutaka kujua hili haweze kulifanyia kazi na kudumisha amani nchini.
@Godfxer_fan Kiongozi mwenye maono hutanguliza amani kuliko nguvu Mabadiliko ya kweli yanahitaji hekima,mazungumzo na kuheshimu Epuka njia ya vurugu chagua maridhiano, kwani hapo ndipo taifa hupata maendeleo ya kudumu Amani hujenga,vurugu hubomoa Kiongozi bora uchagua mazungumzo na maridhiano
@joeselasini Tuwasilisha ushahidi kwenye Tume kwa kutumia njia zote zilizokuwa zimeainishwa awali ambazo ni majadiliano ya ana kwa ana, mawasilisho ya maandishi (written) kwa njia ya posta au tovuti maalumu ya Tume; barua pepe; ujumbe mfupi wa simu (SMS); kujaza dodoso maalumu kwenye mtandao
@Sativa255 Watanzania wenzangu nchi hipo salama hakuna mandamano yoyote kwani Tanzania hipo imara vyombo vya ulinzi na usalama kulinda usalama wa raia na mali pamoja mipaka yote ya tanzania karibu AFCON kwani michezo hausiani na siasa ni tasisi inayojitegemea karibu Tanzania
Tume ya Rais hatua ya ukweli na haki tuache ifanye kazi wanaopinga tume wanaogopa nini? Ukweli hauogopi uchunguzi tume imeundwa kwa ajili ya ukweli, si siasa tuache ifanye kazi yake tume ni mwanzo mzuri haki haipigi kelele inafuata mchakato Tume ndiyo njia sahihi tusihukumu