Ndg zetu wa kule BK walianza lini kwenda university..? Mana kweny hii list siwaoni au tu ni vile masifa mengi ila n wakawaida.. ila twende mbele turudi nyuma kabila la huyu jamaa mweny PhD wako vizuri angalia namba 6 apo kati

Ukiachana na hawa kuna wale wanazungusha mbog mbog na vitafutwa majumbani., shida yao ukiwaungisha tu mara moja hawaachi kuja kila siku asubuh.
Anyway tuendelee kuwasapot na ikiwezekana kuchukua mzigo wote ili wabaki mageto kutufanyia usafi na kupika na kupunguza kono la nyani..
@YerickoNyerereT Nyericko bro bas nakuomba badili jina hata ukiitwa nyericko nyemele hamna shida … kuliko ivo unakuwa kama hauna akili timamu mbona wengine waliohama chama wametulia tuachie bas viongoz wetu tunajua pa kuwashika huko nyir mnapewa pesa za bando na hatusemi..😀