Wakati JWTZ Wanatia Nanga Pale KARIAKOO Walishukia Pale Msimbazi (Katikati Ya Barabara Ya Mwendokasi) WANANCHI Walivyowaona Tu Waliwashangilia Sana Huku Wakiimba WANAUME Hao! WANAUME Hao! JWTZ Walipofika Eneo La Tukio Hawakuhitaji CAMERA Walihitaji Vitendea Kazi Wakaanza Kazi. ๐ค