๐งต THREAD: โSababu Inayowafanya Watu Wengi Washindwe Kusajili Company Sio Pesaโฆโ
Miaka kadhaa iliyopita nilikutana na mtu mmoja ambaye alikuwa na biashara nzuri sana.
Alikuwa anauza vizuri.
Alikuwa na wateja.
Alikuwa anajulikana kwenye eneo lake.
Lakini kulikuwa na tatizo moja.
Biashara yake ilikuwa ipo kichwani kwake tu.
Haikuwa imesajiliwa.
Hakukuwa na company.
Hakukuwa na structure.
Hakukuwa na legal identity.
Kwa kifupi, alikuwa anafanya biashara kama mtu binafsi huku akiamini siku moja atakuja kusajili.
Siku hiyo haikufika.
๐งต๐
Kwenye soko la ajira hivi karibuni imekua kawaida thamani yako kuamuliwa na uwezo wako wa kutatua matatizo yanayowagharimu watu, biashara, muda au fursa. Na sio matarajio yako au ukubwa wa GPA pekee.
That's why now days ni kawaida kuona wimbi la wanafunzi wengi wa chuo wakichakarika kutafuta na kujifunza mambo mapya ndani na nje ya chuo.
Kama huingizi zaidi ya 1M kila mwezi achana na HISA,
Wekeza hapa:
1. High income skills
2. Mentorship na coaching
3. Vitabu na taarifa nyeti
4. Connections na uzoefu.
Hisa za 1M hazitakufikisha popote.
Ongeza KIPATO, njo wekeza ukiwa na misuli.
Hata kama unapitia magumu kiasi gani usiache kufanya ibada na kumshukuru Mungu kwani ndie mwenye ufumbuzi na magumu yako โ๏ธ๐
Good morning ladies and gentlemen ๐๐พ
Siri kubwa ya biashara si kujua kuuza.
Ni kujua nini cha kuuza.
Watu wengi hutengeneza bidhaa kwanza, halafu hutafuta wateja.
Walio mbele hutafuta demand kwanza, halafu hujenga bidhaa.
Hapo ndipo pesa nyingi huanzia.
P.S. "Usitafute wateja wa bidhaa yako. Tafuta bidhaa ya wateja wako."
Kwa jinsi AI inavyokuja kwa kasi, kigezo cha uzoefu kazini kinataakiwa kiendane sambaba na kigezo cha โSpeedโ na โUfanisiโ.
Vinginevyo, mtu unaweza jikuta badala kuwa 10 years of experience, inakuwa uko 10 years behind.
Kuna baadhi ya careers hasa kwa โKnowledge workersโ inabidi uwezo kuwa kujifunza na ku-adapt AI na tools zingine iwe ni kwa spidi ya ngiri.
Si lazima iwe kwamba hawalipi kodi. Mara nyingi sababu ni za kimkakati zaidi kuliko watu wanavyofikiri.
Kwanza, kampuni nyingi za China zina nguvu kwenye economies of scale.
Yaani wanazalisha kwa kiwango kikubwa sana kiasi kwamba gharama ya kila chupa inashuka. Ukizalisha chupa milioni 10 kwa mwezi na mwingine anazalisha laki 5, gharama zenu haziwezi kufanana.
Pili, wanaweza kuwa na supply chain control.
Kampuni kubwa zinaweza kumiliki au kuwa na mikataba ya muda mrefu ya:
->Chupa za plastiki
->Labels
->Mashine
->Usafirishaji
->Malighafi
Hivyo gharama zao zinakuwa ndogo kuliko kampuni inayonunua kila kitu kutoka kwa wasambazaji tofauti.
Tatu, kuna kitu kinaitwa market penetration strategy.
Wakati mwingine kampuni mpya haiji kutafuta faida kubwa mwanzo.
Inakuja kutafuta market share.
Inaweza kuuza kwa faida ndogo sana kwa miaka kadhaa ili kujenga mtandao wa usambazaji na kuwazoeza wateja.
Lakini kuna upande mwingine ambao wengi hawauoni:
Bei ya chini siyo guarantee ya ushindi.
Kama ingekuwa hivyo, kampuni zote za bei nafuu zingekuwa zinaongoza soko.
Si lazima iwe kwamba hawalipi kodi. Mara nyingi sababu ni za kimkakati zaidi kuliko watu wanavyofikiri.
Kwanza, kampuni nyingi za China zina nguvu kwenye economies of scale.
Yaani wanazalisha kwa kiwango kikubwa sana kiasi kwamba gharama ya kila chupa inashuka. Ukizalisha chupa milioni 10 kwa mwezi na mwingine anazalisha laki 5, gharama zenu haziwezi kufanana.
Pili, wanaweza kuwa na supply chain control.
Kampuni kubwa zinaweza kumiliki au kuwa na mikataba ya muda mrefu ya:
->Chupa za plastiki
->Labels
->Mashine
->Usafirishaji
->Malighafi
Hivyo gharama zao zinakuwa ndogo kuliko kampuni inayonunua kila kitu kutoka kwa wasambazaji tofauti.
Tatu, kuna kitu kinaitwa market penetration strategy.
Wakati mwingine kampuni mpya haiji kutafuta faida kubwa mwanzo.
Inakuja kutafuta market share.
Inaweza kuuza kwa faida ndogo sana kwa miaka kadhaa ili kujenga mtandao wa usambazaji na kuwazoeza wateja.
Lakini kuna upande mwingine ambao wengi hawauoni:
Bei ya chini siyo guarantee ya ushindi.
Kama ingekuwa hivyo, kampuni zote za bei nafuu zingekuwa zinaongoza soko.
Ni kweli, heshima hainunuliwi.
Lakini kuna heshima ambayo huja baada ya miaka ya kujitoa, kujifunza, na kubeba majukumu ambayo wengine walikimbia.
Watu huona heshima.
Hawaoni gharama iliyolipwa kuipata.
P.S. "Baadhi ya heshima hazinunuliwi kwa fedha. Zinapatikana kwa rekodi ya matokeo."
Miaka iliyopita biashara ilihitaji miaka 10 kujijenga.
Leo?
Mwaka mmoja unaweza kubadilisha kila kitu.
Lakini si kwa sababu biashara zimekuwa rahisi.
Ni kwa sababu kasi ya taarifa, teknolojia, na distribution imeongezeka.
Wanaochelewa kuelewa hili wanashindana na jana.
Wakati soko lipo kesho.
P.S. "Kwenye era hii, faida si kuwa na muda mwingi. Ni kujifunza na ku-adapt haraka kuliko wengine."
Vijana wengi hawapotei ghafla.
Hupotea pale wanapoanza kudharau mfumo uliowasaidia kufika walipo.
Nidhamu huondoka.
Ratiba hupotea.
Misingi husahaulika.
Na taratibu maendeleo huanza kurudi nyuma.
P.S. "Mara nyingi mafanikio hayaharibiwi na changamoto mpya. Huharibiwa na kuacha mambo yaliyokuwa yanakufanyia kazi."
Wakati mwingine tatizo si kwamba huwezi kujieleza.
Ni kwamba unaeleza kwa watu ambao hawana nia ya kuelewa.
Si kila hoja inahitaji majibu.
Na si kila mashambulizi yanahitaji vita.
P.S. "Mara nyingi kimya si udhaifu. Ni uamuzi wa kutopoteza nguvu mahali pasipostahili."
Watu wengi husubiri miujiza ibadilishe maisha yao.
Lakini mara nyingi fursa huja ikiwa imejificha ndani ya kazi, nidhamu, na consistency.
Maombi yanaweza kukuonyesha njia.
Lakini hatua ndizo zinazokufikisha.
P.S. "Usisubiri pesa zije. Jitengeneze kuwa mtu ambaye pesa zinamtafuta."
Watu wengi huomba maisha yawe mepesi.
Lakini ukuaji una sheria tofauti.
Kila kiwango kipya cha maisha huja na changamoto mpya.
Ukiona ugumu umeongezeka, usiogope.
Huenda si tatizo.
Huenda ni uthibitisho kwamba umefika level nyingine.
P.S. "Maadui wakubwa mara nyingi ni ishara ya kiwango kikubwa."
Biashara nyingi hudhani zinahitaji ofisi kubwa, wafanyakazi wengi, au mtaji mkubwa ili zionekane kubwa.
Ukweli ni huu:
Wateja hawapimi ukubwa wa biashara yako.
Wanapima kiwango cha imani wanachokipata ndani ya sekunde chache za kwanza.
Ndio maana biashara ndogo yenye branding nzuri mara nyingi huonekana kubwa kuliko kampuni yenye rasilimali nyingi.
P.S.
"Kwenye biashara, perception hujenga trust. Trust hujenga mauzo."