@SkySportsPL They had RVP and nothing happened, the problem isn't a center forward, it's them being arsenal...
The ๐ผ ๐ผ ๐ผ ๐ผ ๐ผ ๐ผ ๐ผ ๐ผ ๐ผ ๐ผ ๐ผ ๐ผ ๐ผ ๐ผ ๐ผ ๐ผ ๐ผ ๐ผ ๐ผ ๐ผ ๐ผ ๐ผ ๐ผ ๐ผ ๐ผ ๐ผ ๐ผ ๐ผ ๐ผ ๐ผ
๐๐๐
@George_Ambangil Ile slogan ya away goal ilikuwa inafanya mechi zinakuwa tight sana (although ilikuwa pia na ladha yake).
Since imeondolewa, mamb kama ya Jana tu, piga -nikupige.
Ukiwa mvivu umeisha ๐ฅณ๐ฅณ๐ฅณ
@George_Ambangil Kiuhalisia team za London msimu huu kadiri unavyokwenda mwisho nao wanaishiwa power...
Kwa jinsi nilivyomwangalia Palmer game ya jmosi, atakuja tu matofalini, moyo wake wote ameshauhamishia pale.... ๐ฅณ๐ฅณ๐ฅณ
@GodemaE Wana vi-canter vyao vya njano hivi, vinavuta skeleton kule viunga vya bandari, vinasumbua.
Vinapaki hovyo, madavo wabishi, kufuata foleni yao kipengele plus full kufelisha.
Mmoja ashawahi kumjibu mwamba mmoja, indicator ni urembo tu.... ๐ฅณ๐ฅณ๐ฅณ
@George_Ambangil (OUT OF THIS POST)
Kuna vitu Huwa vinajitokez kweny CL matches za R Madrid ni havitarajiwi.
Zile goals za Fed ๐๐
Touches ๐ฅ๐ฅ, finishing๐งจ๐งจ..
Ukienda Kwa Peres na 1.5B kumtak Fed, akakuongezea 2B na kukuambia chagua tusi Moja na ujitukane...
Sijui kama wataiacha CL msimu huu!
@George_Ambangil Yap, hata mechi ya gala na liver ilitakiwa kuwa na goals nyingi kama hii ya psg na chel.
Ni vile tu upele uliota Kwa wasio na kucha....
@George_Ambangil Passing accuracy, composure na calmness ya Tapsoba ni ๐ฅ๐ฅ๐ฅ.
Nadhani ni Moja ya mabeki watakaohusishwa sana na uhamisho dirisha kubwa.
@George_Ambangil Trust me, Ile trick waliyoitumia Leverkusen at the start of the second half, mwezi huu hauishi tutaiona EPL.
Pia nilikuwa nawachunguza referees kwenye tabia ya team za EPL linapokuja suala la Kona, hawakukubaliana nazo kabisa. FA wafanye inabidi wafanye jambo kuizuia Ile tabia.