tunauza spare za mabus na marol kwa upande wa mabusi tuna ZHONGTONG YUTONG HIGER GOLDEN DRAGON SCANIA G7 marol tuna SCANIA TATA VOLVO MAN BENZ DAF karibun san
@MarekaMalili Amka usali mkuu mungu anakuita umuombe yale maitaji yako akufanikishie ndivyo nilivyo juzwa na wazee ukiona unaamka kila usiku na uwez kulala hiyo ni wake up call kutoka kwa mungu kama ni muislam swal raka mbili kisha mlilie mungu shida zako