The purpose of my life is not to be happy. It is to be useful, to be honorable, to be compassionate, to have it make some difference that I have lived well.
Kuna tofauti kubwa kati ya
Kutaka maisha mazuri
na
Kuwa tayari kulipa gharama ya maisha mazuri.
Watu wengi wanataka matokeo, lakini wachache wanataka mchakato.
Mafanikio sio siri.
Mafanikio ni uwezo wa kufanya mambo ya kawaida kwa uthabiti wa kipekee.
Jiulize
“Ni tabia gani moja ninayoifanya kila siku ambayo inanizuia kuwa mtu ninayetaka kuwa?”
Usitafute majibu makubwa.
Mara nyingi maisha hubadilishwa na tabia ndogo zinazorudiwa kila siku.
#ElimuBure